Nimefanya mapenzi na wanawake 16 bila kinga nikijua ninamaabukizi ya VVU

nelly nashon

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
242
521
Habari Jf
Nimeishi maeneo ya kambi za wavuvi katika ziwa Victoria kwa muda mrefu nikifanya biasha ya kuuza dagaa baada ya kumaliza O-level.

Kwa ujinga au kiburi cha pesa nilikuwa nikibadiri wanawake sana pasipokujua madhara yake. Mwanzoni nilikuwa mtumiaji wa condom sana,
Siku moja niliishiwa condom nyakati za usiku nikiwa gheto na binti, niliamua kufanya mapenzi bila kinga hadi asubuhi.

Kwanzia hapo niliishi kww wasiwasi mkubwa na hofu tele nikijua wazi huenda nimeaathrika na vvu. Sikuona haja tena ya kutumia condom.

Niliendelea kufanya mapenzi zaidi na wanawake zaidi ya 16 bila kutumia kinga. Nilikata tamaa kabisa ya maisha ya kesho yangu.

Mwaka 2006, nilijiunga High school, Sengerema High schol. Kipindi chote cha shule nilijua mimi ni mwathirika wa vvu. Niliendelea kutoa dozi kwa madenti wa shule jirani...Mungu nisamehee....kama vile nilikusudia kufanao.

Nilifahuru kwa dv 2 nakijuunga UDSM,2009/2010 academic year..nikisomea Wildlife science and conservation...
Nikiwa main campus, kuna bango lenye maandishi ' graduate with A's not AIDS'..nilikuwa naumia sana nikiliona.
Mwaka wa kwanza chuoni nilipata girlfriend akisoma school of law mwaka wa nne, alinikatalia kufanya mapenzi bila kupima afya, moyo ulijaa wasiwasi sana..halitambua wasiwasi yangu kwa kunitazama.
Alinisihi tukapime mara baada ya mitihani ya fierst semester, nilikonda kwa hofu hadi nilitamani kuvunja mahusiano. Niliamua kwenda kupima japo kwa hofu kubwa moyoni

Matokeo

Nilimsihi sana asiniache kama ntakutwa na maambuki, alikubali naye pia aliomba nilimtangaze kama atakuwa na maambukizi..
Matokeo yalipo toka baada ya dakika 15 hivi...

Mimi sikuwa na maambukizi nakutakiwa kurudi baada ya three months, nililia sana.

Mwenzangu aligundulika na maambukizi ya vvu...hakika niliumia sana, sikuona kama yale matokeo yalinisitahili mimi.

Mungu ni mkuu sana ndugu zangu,hutuepusha kwa mengi si kwa ujanja wetu bali kwa huruma zake. Niliapa kutofanya mapenzi kabra ya ndoa..
Sasa nina familia, watoto watatu. Nafanya kazi na buasha kuitunza familua yangu..
Namkumbuka daima yule dada, popote alipo Mungu ampe afya njema na maisha marefu.

Ukimwi badi upo, tuwe waangalifu.
 
Loooh kama ni kweli basi umetoka mbali ,INASISIMUA sana na KUSIKITISHA pia, Je huyo mwezio yuko wapi ? uliendelea nae kimahusiano ? kwani bila yeye ungeweza kupatwa na VVU kirahisi tu
 
Mm mwenye mungu kanisaidia .mm nilikuwa na mchunga japo tuliaminiana tukaingiliana kimwili bila kinga baade ukatokea utofauti mkubwa baadae akaniambia kwamba alikuwa anataka tu kuniua kwani ameathirika.nilliamnn kwani tumefanya mapenz mara nying san kwa sababu nilimpangishia wakt nipo chuo.nikakata tamaa ya maisha ikabid potelea mbali nmtafute mwingine.huyu ndio shida na tabu kwani alinipenda sana na kwa kuwa nilikuwa na hofu ya kuwa na vvu.niliingia bila kinga nakumbuka hadi siku alitokwa n damu tukiwa on job.alipoona tumefanya mapenz zaid ya mara 4 sku ameniita akaniambia ananiomba msamaha kwani yeye ni muathirika.niliwaza mengi lkn tuliendelea km miez miwili hivi japo tulienda kupima wote na alipatikn muathirika lkn mm sikua muathirika.nikatia kwa miez sita baadae kwa kupata vipimo mara nying sana kwa kila mwezi baada ya miez sita na srhm tofaut tofaut majibu yangu yalibk vile vile.nikaamua kutulia na kumpta mchunga ambae wote tulipma afya tukakuta tena wote safi na mpk sasa tuna mtoti moja wa kiume.namshukr nimepona lakini naamini circimsition inazuia maambukz kwa zaid ya asilimia 60
 
Loooh kama ni kweli basi umetoka mbali ,INASISIMUA sana na KUSIKITISHA pia, Je huyo mwezio yuko wapi ? uliendelea nae kimahusiano ? kwani bila yeye ungeweza kupatwa na VVU kirahisi tu
Nilikuwa nikiwasiliananae, tulikuwa marafiki sana..alimaliza chuo kabla yangu saizi siko na mawasiliano huenda alibadiri namba ya simu
 
wewe utakuwa una kinga mwilini mwako, ndio wale ambao hampati VVU hata iweje! Visiwani ulipokuwa unauza dagaa wanawake wengi wana VVU, wengi ni wajane wakifiwa na wenza wao huwa wanakimbilia visiwani. Mwambie Mungu ahsante
 
Huwezi kujua kifo kipo na kinaumiza kiasi gani mpaka utakapochungulia kabuli , sasa wewe ulishaanza kuiona jehanamu yako una haki sasa kukaa na kutulia maana hakuna usichokijua cha kuumiza moyo zaidi ya yale uliyopitia
 
wewe utakuwa una kinga mwilini mwako, ndio wale ambao hampati VVU hata iweje! Visiwani ulipokuwa unauza dagaa wanawake wengi wana VVU, wengi ni wajane wakifiwa na wenza wao huwa wanakimbilia visiwani. Mwambie Mungu ahsante
Hiv kumbe kuna watu wa namna hii!!!!? Nlikuwa nawaza sana hata mimi ilishantokea kutembea na watu wawili wenye ukimwi ilinichanganya akili sana hadi nkawa mlev kupindukia 24/7 kujipoteza mawazo ila nkaja kugundua kuwa sijaambukizwa ilinichukua miaka.
 
Kuna watu hata iweje kamwe hawawezi kupatwa na ngwengwe,
Mutations inaweza kutokea kwenye receptor za WBCs hivyo kuzuia fusion ya HIV na hizo Cells,

Matokeo yake, HIV wakiingia mwilini watakufa mara moja kwa kukosa namna ya kuishi mwilini.
Utafiti uliowahi kufanyika Ujerumani na kugundua watu kama hao wapo 17 nchi nzima[makadirio].

Kitu kingine maambukizi ya HIV siyo issue ya tit-for-tat, mtu anaweza kugegedana na HIV+ na asipatwe na HIV.

NB; PALIPO NA WASIWASI, TUMIA CONDOM!
 
Hiv kumbe kuna watu wa namna hii!!!!? Nlikuwa nawaza sana hata mimi ilishantokea kutembea na watu wawili wenye ukimwi ilinichanganya akili sana hadi nkawa mlev kupindukia 24/7 kujipoteza mawazo ila nkaja kugundua kuwa sijaambukizwa ilinichukua miaka.
Mkuu ME kupatwa na ngwengwe ni issue ngumu kidogo kuliko ilivyo kwa upande mwingine.
 
Back
Top Bottom