Mkasa wa kukutana na wanawake wenye ngoma

Grau

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
4,224
3,844
Wakuu tutumie kinga maisha hayasomeki haya, Nakumbuka mwaka 2020 kabla sijaoa nilikuwa natafuta mbususu za kujipigia hapa na pale, yaani naitoa sehemu x inakuja kwangu kulala.

Nakumbuka hiyo siku niliikeshea mbususu mpaka asubuhi ila cha kushangaza ilikuwa imejiachia tu, aisee mm sinaga kabisa utaratibu wa kumuamini mwanamke hata kama ninahisia gani lazima nitumie kinga.

Nakumbuka siku hiyo mpaka leo yaani nililala na mwanamke ananiachia tu mbususu najilia napiga navyo taka kumbe mbususu imeungua, yaani nilikuwa najichania tu condom dah! Eeee Mungu tuepushe na gonjwa hili. Dah! Nilikaa baada ya siku tatu nasikia huyo mwanamke kaungua niliwaza sana kuja nikawa nimepima afya japo nilitumia salama nikajikuta fresh tu siunajua tena hata kama umetumia salama alafu kumbe demu umesikia kaungua?

Juzi kati tena nimekutana na demu moja hivi nikaipiga show bahati nzuri nilitumia kinga maana kama kawaida yang siamini mwanamke natumia kinga kuja kumlazimisha demu tupime nakuta kaungua, saivi wanao pata maambukizi ni wengi tuweni makini tutumie kinga, alafu usijifanye mbabe kupiga show mda mrefu salama huwa zinapasuka na usinogewe na mikatiko yake ohooo.
 
Back
Top Bottom