Hahahahaaahaah etiii eeeehSina hakika kama umepata, nakushauri upige kavu ili uwe na uhakika wa kukipata ulichokuwa unakitafuta
Niache chata mapemaaa eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
R.I.P DANYA
USHAURI
Kama hujaoa post thread ya kutafuta mke uoe mapemaa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Tthankx kwa ushauriKama ulitumia kondomu na haikupasuka acha uoga mkuu.
Kama kila anayefanya mapenzi na muathirika kwa UKIMWI angekuwa anaupata UKIMWI , nafikiri wanaume wengi sana wa Dar wangekuwa washakufa.
Umeshawahi kukaa maeneo yaliyoko karibu na madanguro?? kila baada ya dakika 1 lazima mtu anaingia kula mzigo na ni kuanzia asubuhi mpaka uski wa saa 6 sasa kama ni hivyo kwa rate ile waaathirika wangekuwa wengi sana mjini.
Ishi kwa amani tu ila acha zinaa ni mbaya sana.
Nenda angaza ukapate ushauri nasahaHabari wakuu,
Juzi kati hapa nilikuwa na mzuka sana wa kufanya mapenzi Bahati nzuri kuna msichana akajilengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa Huyo dada ni Ameathirika na Ukimwi Je vipi na mimi nimesha Ukwaa au vipi?
Nipo katika pressure kubwa, kupima naogopa japo nilitumia Kondom na sikuwa na mchubuko wowote Ule!
Je kufanya mapenzi na mtu muathirika means na mimi nimeshaupata au vipi?
Msaada tafadhali
So wanao itangaza Kondom ni Waongo????Mkuu, wewe tayari umeshakufa...
Virus vya UKIMWI vinapenya hadi kwenye Condom...
Nakushauri uchonge jeneza kabisa na uache ngono
Milele aminaHahaa danya bana
Tutakukumbuka daima milele
NdioMkuu we ni daktari
adhabu mwanana kwa mjivuni huyu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Swali kama hili angeuliza mtoto wa darasa la nne bado ningemshangaa...
Hivi ni kweli mpk leo watu hawajui maambukizi ya HIV yanapatikanaje??
Anyway... mi nakushauri chemsha maji ya moto afu ulimwagie hilo dushe lako kabla wadudu hawajasambaa mwilini.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Utakufa alhmisi hii muda uleule uliofanya mapenzi
Kama haijazidi masaa 72, tangu ufanye mapenzi ni PM,ila kama imezidi ww anza kutumia ARV tuuuHabari wakuu,
Juzi kati hapa nilikuwa na mzuka sana wa kufanya mapenzi Bahati nzuri kuna msichana akajilengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa Huyo dada ni Ameathirika na Ukimwi Je vipi na mimi nimesha Ukwaa au vipi?
Nipo katika pressure kubwa, kupima naogopa japo nilitumia Kondom na sikuwa na mchubuko wowote Ule!
Je kufanya mapenzi na mtu muathirika means na mimi nimeshaupata au vipi?
Msaada tafadhali
DUUU HAPO NDIO BASI TENA ANZA KUANDIKA WOSIA TU