cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,872
Ukimwi hauzuiliki hata kwa kondomu za bati
Hapo napingana na ww,nnavyoelewa Mm ukiwa na kamchubuko kidogo tuu kitendo cha kwenda kuoga lzm usikie maumivu fulani hivi,mwanaume % za kupata ngwengwe ni ndogo Sana tofauti na mwanamke na hio yote inasababishwa na maumbileKama ulifanya na kondom umepata ukimwi
Ni bora usingetumia kondom wala usingepata ukimwi
Ila kwa sasa tayar unao anza tu kuzingatia balance diet
Na unavyosema huna michubuko,
Kuna michubuko isiyoonekana na huwezi hata kuihisi hata kama ukiweka chumvi
Mi nilishatembea na mwenye HIV bila condom na bahati nzuri Mungu alinisaidia sikupata sa hivi nimetuliza sana.
Nilikaa mwezi minne mawazo
Nikaamua kwenda kupima sina sikuamini nilipima mara nyingi kweli
haha sasa tumshauri vp for example aka banike Urungu{Dushe}**[emoji23]Virusi vina resist kwenye Joto la kawaida below 100c au hiyo imani tuuu najua virus anaweza exist as living and non living thing hayo maji ya moto yatafanya kazi kweli?
Jipe moyo hivyohivyo.....!!! Watu Wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Lol.....!Nitapiga moyo Konde watu wana gegeda wadada 50 na hawapati sembuse mm siku moja
Kumbe unajua kila kitu.....Sina Imani na Njia yako Boss! Virus is nat Bacteria na ni through blood ndo wanaambukiza Hayo Maji yatafanya nini mkuu