Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,117
- 4,781
Umeupata tayari
Habari wakuu,
Juzi kati hapa nilikuwa na mzuka sana wa kufanya mapenzi bahati nzuri kuna msichana akajilengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa huyo dada ni ameathirika na UKIMWI, Je vipi na mimi nimesha Ukwaa au vipi?
Nipo katika pressure kubwa, kupima naogopa japo nilitumia Kondom na sikuwa na mchubuko wowote ule.
Z
Je kufanya mapenzi na mtu muathirika means na mimi nimeshaupata au vipi?
Msaada tafadhali.
Ujasiri wapiulikuwa na ujasir sana wa kupma
ila bado waendeleaa kugonga sanaaUjasiri wapi
Nilikuwa najua ninao
Yani kama zari vile hadi leo najiona kama siku ile
We sa hizi nimetuliaila bado waendeleaa kugonga sanaa
Je,ukinyonywa dushe na muathirika?condom ni kwa 98% contraceptive method ya HIV, nakama haikupasuka wala kutokea mchubuko wowote bs amsure utakua umepoa, labda kama wew niliongo!
sasa hyo dushe ananyonya vp mpka imchubue mdomo na dushe ichubuke kupitisha hvo virus......by the way mate ya enzymes ambazo haziruhusu kabisa virusi kujiachia. ko ni ngumu njia hyo kuambukiza HIVJe,ukinyonywa dushe na muathirika?
Kwa nini usiende kupima upate jibu? Humu wenzako watakukejeli tu sijui ndicho unachokitaka.Habari wakuu,
Juzi kati hapa nilikuwa na mzuka sana wa kufanya mapenzi bahati nzuri kuna msichana akajilengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa huyo dada ni ameathirika na UKIMWI, Je vipi na mimi nimesha Ukwaa au vipi?
Nipo katika pressure kubwa, kupima naogopa japo nilitumia Kondom na sikuwa na mchubuko wowote ule.
Je kufanya mapenzi na mtu muathirika means na mimi nimeshaupata au vipi?
Msaada tafadhali.
Ni vigumu kuambukizwa but inawezekana pia si ndio mkuu?sasa hyo dushe ananyonya vp mpka imchubue mdomo na dushe ichubuke kupitisha hvo virus......by the way mate ya enzymes ambazo haziruhusu kabisa virusi kujiachia. ko ni ngumu njia hyo kuambukiza HIV
Na iyo kondom ulivyokua unavaa ulikua unavaa ya nn?Habari wakuu,
Juzi kati hapa nilikuwa na mzuka sana wa kufanya mapenzi bahati nzuri kuna msichana akajilengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa huyo dada ni ameathirika na UKIMWI, Je vipi na mimi nimesha Ukwaa au vipi?
Nipo katika pressure kubwa, kupima naogopa japo nilitumia Kondom na sikuwa na mchubuko wowote ule.
Je kufanya mapenzi na mtu muathirika means na mimi nimeshaupata au vipi?
Msaada tafadhali.
sina uhakika.....Ni vigumu kuambukizwa but inawezekana pia si ndio mkuu?
Ni vigumu kuambukizwa but inawezekana pia si ndio mkuu?
Ingekuwa ameupata kuna dalili za awali kabisa ambazo zingeonekana ndani ya kipindi cha wiki moja hadi Tatu ambazo kitaalamu wanaita kipindi cha SEROCONVERSION. Zinatokana na kitu kigeni (HIV) Kuingia mwilini.
Dalili hizo ni Kama zile za Heavy Flu ambazo ni pamoja na homa kali, maumivu ya kichwa, mafua, mitoki, na night sweats.