Nimefanya mapenzi na mtu mwenye UKIMWI

Nimefanya mapenzi na mtu mwenye UKIMWI

We uchune hutakaa uuskie, ila ukienda kupima utaukuta na utakufa mapema
 
nipo mwaego.............za toka jana?
Poa sana. Bado naendelea vema na kazi iliyonileta hapa duniani... kusimamia vijana wasihangamiem kwa kukosa maarifa.

Somo la leo linahusu namna ya kutumia maji moto kujiepusha na maambukizi ya HIV
 
Nitapiga moyo Konde watu wana gegeda wadada 50 na hawapati sembuse mm siku moja
Kujipa moyo nikitu kikuzuri sana,ila usijifananishe na wenzio,kila mtu na bahati yake na ndio mana vidole vyetu havifanani..
 
Poa sana. Bado naendelea vema na kazi iliyonileta hapa duniani... kusimamia vijana wasihangamiem kwa kukosa maarifa.

Somo la leo linahusu namna ya kutumia maji moto kujiepusha na maambukizi ya HIV
hahahah shaaabash hata babu wa loliondio umempiku
 
Sina hakika kama umepata, nakushauri upige kavu ili uwe na uhakika wa kukipata ulichokuwa unakitafuta
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
R.I.P DANYA

USHAURI
Kama hujaoa post thread ya kutafuta mke uoe mapemaa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Mkuu muoe kabisa ili uendelee kujigegedea kiulaini mkisubiria siku zenu ziishe
 
Habari

Juzi kati hapa nilikuwa namzuka sana wa kufanya mapenzi Bahati nzuri kuna msichana akajirengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa Huyo dada ni Ameathirika na Ukimwi Je vipi na mimi nimesha Ukwaa au vipi?

Nipo katika pressure kubwa,kupima naogopa japo nilitumia Kondom na sikuwa na mchubuko wowote Ule!

Je kufanya mapnzi na mtu muathirika means na mimi nimesha upata au vipi? Msaada tafadhari
Kama ulitumia kondomu na haikupasuka acha uoga mkuu.

Kama kila anayefanya mapenzi na muathirika kwa UKIMWI angekuwa anaupata UKIMWI , nafikiri wanaume wengi sana wa Dar wangekuwa washakufa.

Umeshawahi kukaa maeneo yaliyoko karibu na madanguro?? kila baada ya dakika 1 lazima mtu anaingia kula mzigo na ni kuanzia asubuhi mpaka uski wa saa 6 sasa kama ni hivyo kwa rate ile waaathirika wangekuwa wengi sana mjini.

Ishi kwa amani tu ila acha zinaa ni mbaya sana.
 
Nakushaur urudi tena ukaendelee tu kugegeda maana hakuna kitu kinachoitwa ukimwi ila kuna kitu kinaitwa pepo la ukimwi ambalo ukiombewa tu linaisha.
 
yani ulipiga uyo mtoto uku unajua ana moto we nenda kapime 2
 
Back
Top Bottom