Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,114
Rudisha smartphone kwa mwenyewe ufanye homework
Virusi vina resist kwenye Joto la kawaida below 100c au hiyo imani tuuu najua virus anaweza exist as living and non living thing hayo maji ya moto yatafanya kazi kweli?Swali kama hili angeuliza mtoto wa darasa la nne bado ningemshangaa...
Hivi ni kweli mpk leo watu hawajui maambukizi ya HIV yanapatikanaje??
Anyway... mi nakushauri chemsha maji ya moto afu ulimwagie hilo dushe lako kabla wadudu hawajasambaa mwilini.
Acha ujinga kapime!Habari
Juzi kati hapa nilikuwa namzuka sana wa kufanya mapenzi Bahati nzuri kuna msichana akajirengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa Huyo dada ni Ameathirika na Ukimwi Je vipi na mimi nimesha Ukwaa au vipi?
Nipo katika pressure kubwa,kupima naogopa japo nilitumia Kondom na sikuwa na mchubuko wowote Ule!
Je kufanya mapnzi na mtu muathirika means na mimi nimesha upata au vipi? Msaada tafadhari
Nitapiga moyo Konde watu wana gegeda wadada 50 na hawapati sembuse mm siku mojaNimecheka leo na Majibu ya watu humu,Mkuu vyo vyote itakavyokua ndio maandika yako ila sema na hisia zako una seem kuziendekeza sanaa, vuta subra halafu ukapime,nakuomba uwe na ushajaa kama uliokua nao wakati unamsomesha huyo
mdada mpaka akakubali basi sema na nafsi yako ukapime please.
Sikuwa kasi mkuu kawaida tuu na nilimpiga viwili 2una kavideo ili tuone speed yako, kama ulikuwa kasi sana basi umepata UKIMWI😀😀
Hiyo sijaelewa nimekwambia juzi masaa 72 yameshapita hapo vipinenda ukanywe pilipil nyingi then muite uchape tena kavu!!Nenda ukanywe Pep so nenda hospitali ukapewe dawa za emergence
We kafanye kama nlivyokushauri. Acha ubishi. Shauri zako... vikifika kwenye korodani utalazimika kuyaoka kama firigisi kwenye mafuta ya chipsi.Virusi vina resist kwenye Joto la kawaida below 100c au hiyo imani tuuu najua virus anaweza exist as living and non living thing hayo maji ya moto yatafanya kazi kweli?
Mkuu una moyo wa ChumaUna presha tu.
Mbona mi' ndiyo zangu hizo!
Ndiyo pakuponea humo.
Nshachakaza sana,sometime nyama kwa nyama na walioathirika,kinachonisaidia ni mate kwa wingi.
Ila sijaenda kupima na life linasonga.
Sina Imani na Njia yako Boss! Virus is nat Bacteria na ni through blood ndo wanaambukiza Hayo Maji yatafanya nini mkuuWe kafanye kama nlivyokushauri. Acha ubishi. Shauri zako... vikifika kwenye korodani utalazimika kuyaoka kama firigisi kwenye mafuta ya chipsi.
hahahahaha najuta kukufahamuSwali kama hili angeuliza mtoto wa darasa la nne bado ningemshangaa...
Hivi ni kweli mpk leo watu hawajui maambukizi ya HIV yanapatikanaje??
Anyway... mi nakushauri chemsha maji ya moto afu ulimwagie hilo dushe lako kabla wadudu hawajasambaa mwilini.
Yataua wadudu kwenye damu. Na kuweka usugu. Hutakuwa na sababu tena ya kutumia kondom hapo baadaye.Sina Imani na Njia yako Boss! Virus is nat Bacteria na ni through blood ndo wanaambukiza Hayo Maji yatafanya nini mkuu
Maisha yenyewe yako wapi haya?Mkuu una moyo wa Chuma
Hahahahaa... kiongozi upo??hahahahaha najuta kukufahamu
Sisomi mkuusorry uko darasa la ngapi kabla ya msaada tuanze apo
Anhaaa kama ni kukomazaa ngozi ya Dick sawaYataua wadudu kwenye damu. Na kuweka usugu. Hutakuwa na sababu tena ya kutumia kondom hapo baadaye.