Nimefanya mapenzi na msichana mwenye UKIMWI

ukiona una mawazo sana najua hapo umepita flat....
 
Wakuu,

Katika pitapita yangu jana baada ya kupiga safari lager za kutosha si nikakutana na mrembo, maskini ya Mungu bila kujua kitu mwanaume nikampeleka hadi nyumbani tukavunja amri ya sita.

Maajabu leo katika kukagua kibegi chake nimekutana na ARV's yaani hapa nimechanganyikiwa nimeamua tu nishinde bar kupoteza mawazo.

Embu nishaurini wakuu nimfanyaje huyu bidada maanake japo nilitumia kinga sina furaha kabisa.
kapime sio mara zote ukilala na mwenye ukimwi unaupoata... na kwanini mnaokota wanawake njiani halafu waenda kuwafanya bila condom japo si asilimia 100 ya kinga ila inasaidia
 
1.Mtu aliye na ARVs sio lazima ziwe zake au anazitumia labda kama umethibitisha hivyo kwa kupata na kadi yake ya CTC 1.
2.Prostitutes wengi mjini wanatumia ARVs huku wakiwa hawana HIV.....hutumia kama Pre exposure prophylaxis(PrEP) yaani kujikinga na maambukizi kutoka kwa wateja wao..zinapatikana ktk black market
3.Kama ni kweli yeye ni muathirika wa HIV na anatumia hizo dawa vizuri basi huna sababu ya kuchanganyikiwa....
Reason and facts;
-Possibility ya kupata HIV kwa tendo moja ni 0.03%.
-Possibility hii imesimama kwenye ground ya Viral Load(wingi wa virus ktk damu)
Kwa mgonjwa aliyetumia dawa vizuri bila kuchakachua anategemewa kuwa na Undectable level of virus....hii inamaanisha ukipima viral load unakuta 0 ingawa mgonjwa ana HIV.....
Sasa mgonjwa mwenye undetectable level of virus au hata mwenye viral load ndogo uwezo wake wa kuambukiza unapungua sana na hivyo unaweza ukafanya "ngono peku"
na usipate maambukizi....
Ushauri.....
Usipanick....ukipima leo HIV ukaikuta basi sio ya huyo dada..ulikua nayo,
Kama ukipima ukakuta Negative basi nenda kwa daktari na utapewa ARVs dozi ya siku 28 Post Exposure Prophylaxis na utasalimika....dawa hii huwa effective kama dozi ya kwanza itatumika ndani ya masaa 72 post event....Sasa amua haraka na ukimbie hospital ukafanye mchakato huu....
Asante na pole sana jembe.!
Infact, mim c mtaalamu ila umejibu kitaalamu mkuu
 
Wakuu,

Katika pitapita yangu jana baada ya kupiga safari lager za kutosha si nikakutana na mrembo, maskini ya Mungu bila kujua kitu mwanaume nikampeleka hadi nyumbani tukavunja amri ya sita.

Maajabu leo katika kukagua kibegi chake nimekutana na ARV's yaani hapa nimechanganyikiwa nimeamua tu nishinde bar kupoteza mawazo.

Embu nishaurini wakuu nimfanyaje huyu bidada maanake japo nilitumia kinga sina furaha kabisa.
Umfanyeje kweni alikutongoza yeye mwenyewe?na kama ulitumia kinga kulikua na hali ya yeye kuikataa condom?sepa mbele muache na maisha yake
 
1.Mtu aliye na ARVs sio lazima ziwe zake au anazitumia labda kama umethibitisha hivyo kwa kupata na kadi yake ya CTC 1.
2.Prostitutes wengi mjini wanatumia ARVs huku wakiwa hawana HIV.....hutumia kama Pre exposure prophylaxis(PrEP) yaani kujikinga na maambukizi kutoka kwa wateja wao..zinapatikana ktk black market
3.Kama ni kweli yeye ni muathirika wa HIV na anatumia hizo dawa vizuri basi huna sababu ya kuchanganyikiwa....
Reason and facts;
-Possibility ya kupata HIV kwa tendo moja ni 0.03%.
-Possibility hii imesimama kwenye ground ya Viral Load(wingi wa virus ktk damu)
Kwa mgonjwa aliyetumia dawa vizuri bila kuchakachua anategemewa kuwa na Undectable level of virus....hii inamaanisha ukipima viral load unakuta 0 ingawa mgonjwa ana HIV.....
Sasa mgonjwa mwenye undetectable level of virus au hata mwenye viral load ndogo uwezo wake wa kuambukiza unapungua sana na hivyo unaweza ukafanya "ngono peku"
na usipate maambukizi....
Ushauri.....
Usipanick....ukipima leo HIV ukaikuta basi sio ya huyo dada..ulikua nayo,
Kama ukipima ukakuta Negative basi nenda kwa daktari na utapewa ARVs dozi ya siku 28 Post Exposure Prophylaxis na utasalimika....dawa hii huwa effective kama dozi ya kwanza itatumika ndani ya masaa 72 post event....Sasa amua haraka na ukimbie hospital ukafanye mchakato huu....
Asante na pole sana jembe.!
Shukrani kwa kutupa shule ya manufaa
 
Back
Top Bottom