Ushauri mzuri1.Mtu aliye na ARVs sio lazima ziwe zake au anazitumia labda kama umethibitisha hivyo kwa kupata na kadi yake ya CTC 1.
2.Prostitutes wengi mjini wanatumia ARVs huku wakiwa hawana HIV.....hutumia kama Pre exposure prophylaxis(PrEP) yaani kujikinga na maambukizi kutoka kwa wateja wao..zinapatikana ktk black market
3.Kama ni kweli yeye ni muathirika wa HIV na anatumia hizo dawa vizuri basi huna sababu ya kuchanganyikiwa....
Reason and facts;
-Possibility ya kupata HIV kwa tendo moja ni 0.03%.
-Possibility hii imesimama kwenye ground ya Viral Load(wingi wa virus ktk damu)
Kwa mgonjwa aliyetumia dawa vizuri bila kuchakachua anategemewa kuwa na Undectable level of virus....hii inamaanisha ukipima viral load unakuta 0 ingawa mgonjwa ana HIV.....
Sasa mgonjwa mwenye undetectable level of virus au hata mwenye viral load ndogo uwezo wake wa kuambukiza unapungua sana na hivyo unaweza ukafanya "ngono peku"
na usipate maambukizi....
Ushauri.....
Usipanick....ukipima leo HIV ukaikuta basi sio ya huyo dada..ulikua nayo,
Kama ukipima ukakuta Negative basi nenda kwa daktari na utapewa ARVs dozi ya siku 28 Post Exposure Prophylaxis na utasalimika....dawa hii huwa effective kama dozi ya kwanza itatumika ndani ya masaa 72 post event....Sasa amua haraka na ukimbie hospital ukafanye mchakato huu....
Asante na pole sana jembe.!
anayetumia ARV hana uwezo wa kuambukiza, isitoshe umetumia ndom....umesave kula bata tu ikibidi mtafute tena
Wakuu,
Katika pitapita yangu jana baada ya kupiga safari lager za kutosha si nikakutana na mrembo, maskini ya Mungu bila kujua kitu mwanaume nikampeleka hadi nyumbani tukavunja amri ya sita.
Maajabu leo katika kukagua kibegi chake nimekutana na ARV's yaani hapa nimechanganyikiwa nimeamua tu nishinde bar kupoteza mawazo.
Embu nishaurini wakuu nimfanyaje huyu bidada maanake japo nilitumia kinga sina furaha kabisa.
Nenda hosp honga hela wakupatie dawa za kuua virusi kabla havijasamba
Lazima nielewe ukweli ulivyo.hahahaha we vuka barabara huku umefumba macho alaf utaelewa tuuu
Wanapima kama ulishapata maambukizi kabla ya tukio ambalo wanataka kukukinga usipateWatakupima nini mkuu wakati virusi vinaanza kuonekana baada ya miezi mi 3
baada ya miezi mingapi???.Wanapima kama ulishapata maambukizi kabla ya tukio ambalo wanataka kukukinga usipate
Mungu wangu😕😕Wahi haraka kwa wataalam kabla sijasambaa mwilini mwako wewe tena wakupe hizo dawa ziniuwe mapema la sivyo nikiji replicate tunakuwa wengi . Si unatujua sisi wakina retrovirus mh ... fanya hima
Umenipa nisichokijua kablaKama ni kweli yeye ni muathirika wa HIV na anatumia hizo dawa vizuri basi huna sababu ya kuchanganyikiwa....
Reason and facts;
-Possibility ya kupata HIV kwa tendo moja ni 0.03%.