jimjamtz
Senior Member
- Mar 13, 2008
- 153
- 28
Nenda hosp honga hela wakupatie dawa za kuua virusi kabla havijasamba
Dawa za kujikinga baada ya kukutana na mwenye maambukizi au kijitoboa kwa bahati mbaya na sindano unayomhudumia mwenye maambukizi, huwa zinatolewa bure kabla ya masaa 72 kwisha. Ila utaratibu utapimwa kwanza kabla ya kupewa isije ukawa na wewe ni mwathirika. Inaitwa Post Exposure Prophylaxis.