Nimefanya mapenzi na msichana mwenye UKIMWI

acha kuwa na akili na mtazamo wa miaka ya 80
yaani haujui la kufanya?.
unapoamua kushinda bar ndo kuondoa virus ama?.
unaposhinda bar ndo jibu la kuwa ulipata ama haukupata ukimwi.
afu hata km umepata haujui tabia ya kutokubali na kuidanganya akili kwa pombe kutafanya ufe haraka na yamkini ukaambukiza wengine na kuambua virusi vipya.
pima kwanza.nyambaffff we
 
anayetumia ARV hana uwezo wa kuambukiza, isitoshe umetumia ndom....umesave kula bata tu ikibidi mtafute tena

naskia anaetumia dawa virus huwa domant hivo inapunguza nafasi ya kuambukiza.
 
1.Mtu aliye na ARVs sio lazima ziwe zake au anazitumia labda kama umethibitisha hivyo kwa kupata na kadi yake ya CTC 1.
2.Prostitutes wengi mjini wanatumia ARVs huku wakiwa hawana HIV.....hutumia kama Pre exposure prophylaxis(PrEP) yaani kujikinga na maambukizi kutoka kwa wateja wao..zinapatikana ktk black market
3.Kama ni kweli yeye ni muathirika wa HIV na anatumia hizo dawa vizuri basi huna sababu ya kuchanganyikiwa....
Reason and facts;
-Possibility ya kupata HIV kwa tendo moja ni 0.03%.
-Possibility hii imesimama kwenye ground ya Viral Load(wingi wa virus ktk damu)
Kwa mgonjwa aliyetumia dawa vizuri bila kuchakachua anategemewa kuwa na Undectable level of virus....hii inamaanisha ukipima viral load unakuta 0 ingawa mgonjwa ana HIV.....
Sasa mgonjwa mwenye undetectable level of virus au hata mwenye viral load ndogo uwezo wake wa kuambukiza unapungua sana na hivyo unaweza ukafanya "ngono peku"
na usipate maambukizi....
Ushauri.....
Usipanick....ukipima leo HIV ukaikuta basi sio ya huyo dada..ulikua nayo,
Kama ukipima ukakuta Negative basi nenda kwa daktari na utapewa ARVs dozi ya siku 28 Post Exposure Prophylaxis na utasalimika....dawa hii huwa effective kama dozi ya kwanza itatumika ndani ya masaa 72 post event....Sasa amua haraka na ukimbie hospital ukafanye mchakato huu....
Asante na pole sana jembe.!

Shukran kwa somo murua.
 
Wakuu,

Katika pitapita yangu jana baada ya kupiga safari lager za kutosha si nikakutana na mrembo, maskini ya Mungu bila kujua kitu mwanaume nikakokota hadi geto nikajilia vyangu.

Maajabu leo katika kukagua kibegi chake nimekutana na ARV yaani hapa nimechanganyikiwa nimeamua tu nishinde bar kupoteza mawazo.

Embu nishaurini wakuu nimfanyaje huyu bidada manake japo nilitumia kinga sina furaha kabisa.

Pole mwana kama umetumia ndom huna haja ya kuwaza ila kama hukutumia we subiri kujiuguza tu man
 
Daah...mi nazani zali la mtu linahusu pia kwa saabu uko nyuma n.sha.to.mba takataka nyngi tena s'tym nyama kwa nyama au kndom inapasuka katikat ya mgegedo na mtu huchomoi m.b.o.o wala nini unaendelea hadi u.na.ko.jo.a na maisha yanasonga vilevile kirohosaf
 
Wakuu,

Katika pitapita yangu jana baada ya kupiga safari lager za kutosha si nikakutana na mrembo, maskini ya Mungu bila kujua kitu mwanaume nikakokota hadi geto nikajilia vyangu.

Maajabu leo katika kukagua kibegi chake nimekutana na ARV yaani hapa nimechanganyikiwa nimeamua tu nishinde bar kupoteza mawazo.

Embu nishaurini wakuu nimfanyaje huyu bidada manake japo nilitumia kinga sina furaha kabisa.

sema tu ulipiga kavu tutakuelewa, yote kwa yote kaa miezi mi3 ukapime afya yako endapo utagundulika umekanyaga moto inabidi tu uishi kwa matumaini, na endapo utagundulika haujakanyaga moto iwe fundisho kuokota mabinti ovyo ovyo.
 
Mtu aliye na ARVs sio lazima ziwe zake au anazitumia labda kama umethibitisha hivyo kwa kupata na kadi yake ya CTC 1.
2.Prostitutes wengi mjini wanatumia ARVs huku wakiwa hawana HIV.....hutumia kama Pre exposure prophylaxis(PrEP) yaani kujikinga na maambukizi kutoka kwa wateja wao..zinapatikana ktk black market
3.Kama ni kweli yeye ni muathirika wa HIV na anatumia hizo dawa vizuri basi huna sababu ya kuchanganyikiwa....
Reason and facts;
-Possibility ya kupata HIV kwa tendo moja ni 0.03%.
-Possibility hii imesimama kwenye ground ya Viral Load(wingi wa virus ktk damu)
Kwa mgonjwa aliyetumia dawa vizuri bila kuchakachua anategemewa kuwa na Undectable level of virus....hii inamaanisha ukipima viral load unakuta 0 ingawa mgonjwa ana HIV.....
Sasa mgonjwa mwenye undetectable level of virus au hata mwenye viral load ndogo uwezo wake wa kuambukiza unapungua sana na hivyo unaweza ukafanya "ngono peku"
na usipate maambukizi....
Ushauri.....
Usipanick....ukipima leo HIV ukaikuta basi sio ya huyo dada..ulikua nayo,
Kama ukipima ukakuta Negative basi nenda kwa daktari na utapewa ARVs dozi ya siku 28 Post Exposure Prophylaxis na utasalimika....dawa hii huwa effective kama dozi ya kwanza itatumika ndani ya masaa 72 post event....Sasa amua haraka na ukimbie hospital ukafanye mchakato huu....
Asante na pole sana jembe.!

Ngoja yule mtu anaitwa 'Deception' aje na uku kutoa yake, Siamini kama kuna kitu Kinaitwa Ukimwi katika dunia hii, endeleeni kujifanya mnazijua dozi uku ndugu zenu wanakufa
 
Wakuu,

Katika pitapita yangu jana baada ya kupiga safari lager za kutosha si nikakutana na mrembo, maskini ya Mungu bila kujua kitu mwanaume nikakokota hadi geto nikajilia vyangu.

Maajabu leo katika kukagua kibegi chake nimekutana na ARV yaani hapa nimechanganyikiwa nimeamua tu nishinde bar kupoteza mawazo.

Embu nishaurini wakuu nimfanyaje huyu bidada manake japo nilitumia kinga sina furaha kabisa.

Kama ulipata kimoja cha fasta fasta hamna mdhara, but km ilisugua sanaaaa..... tayari
 
mwanaume kupata maambukizi ni vigumu sana ingawa inawezekana akapata ila kwa taabu sana..hofu ni kawaida km bnadam
 
acha kuwa na akili na mtazamo wa miaka ya 80
yaani haujui la kufanya?.
unapoamua kushinda bar ndo kuondoa virus ama?.
unaposhinda bar ndo jibu la kuwa ulipata ama haukupata ukimwi.
afu hata km umepata haujui tabia ya kutokubali na kuidanganya akili kwa pombe kutafanya ufe haraka na yamkini ukaambukiza wengine na kuambua virusi vipya.
pima kwanza.nyambaffff we

mkuu huyo jamaa katunga hiyo stori.
 
Anyway ukiisoma post yenyewe utagundua ni simulizi ya kutunga, yaani ina udambwi udambwi flani hivi, lakini kuna wachangiaji wameamua kuwa serious ili kutoa elimu waliyonayo kwa wengine. Wote Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom