Nimefanya mapenzi na msichana mwenye UKIMWI

Nimefanya mapenzi na msichana mwenye UKIMWI

Nashukuruni kwa ushauri jamani manake apa presha imeanza kushuka wandugu
 
Ndugu yangu unamshauri huyu mwenye hadithi za kufikirika hapa yaani imetungwa hii ndugu yangu
nenda haraka kituo cha ushauri nasaha kapime kisha uanzishiwe arv kwa ajili ya pep (endapo hutakuwa na virus). Hii inahitaji kufanyika haraka kabla ya kumaliza masaa 72.
 
Ndugu yangu huyu mtu ni msanii ametunga hii stori ili nae apate umarufu kama wangu hapa jf hahahahahahahahaa

Mbona umemaindi ivyo mi nilikuwa naomba ushauri tu na ninamshukuru mungu wana jf wamenishauri na ninaufanyia kazi dadaangu
 
Umeshinda baa tena leo kupoteza mawazo, leo ukimwokota mwingine usitumie kinga, hii itasaidia kuua virus ulopata jana.
 
1.Mtu aliye na ARVs sio lazima ziwe zake au anazitumia labda kama umethibitisha hivyo kwa kupata na kadi yake ya CTC 1.
2.Prostitutes wengi mjini wanatumia ARVs huku wakiwa hawana HIV.....hutumia kama Pre exposure prophylaxis(PrEP) yaani kujikinga na maambukizi kutoka kwa wateja wao..zinapatikana ktk black market
3.Kama ni kweli yeye ni muathirika wa HIV na anatumia hizo dawa vizuri basi huna sababu ya kuchanganyikiwa....
Reason and facts;
-Possibility ya kupata HIV kwa tendo moja ni 0.03%.
-Possibility hii imesimama kwenye ground ya Viral Load(wingi wa virus ktk damu)
Kwa mgonjwa aliyetumia dawa vizuri bila kuchakachua anategemewa kuwa na Undectable level of virus....hii inamaanisha ukipima viral load unakuta 0 ingawa mgonjwa ana HIV.....
Sasa mgonjwa mwenye undetectable level of virus au hata mwenye viral load ndogo uwezo wake wa kuambukiza unapungua sana na hivyo unaweza ukafanya "ngono peku"
na usipate maambukizi....
Ushauri.....
Usipanick....ukipima leo HIV ukaikuta basi sio ya huyo dada..ulikua nayo,
Kama ukipima ukakuta Negative basi nenda kwa daktari na utapewa ARVs dozi ya siku 28 Post Exposure Prophylaxis na utasalimika....dawa hii huwa effective kama dozi ya kwanza itatumika ndani ya masaa 72 post event....Sasa amua haraka na ukimbie hospital ukafanye mchakato huu....
Asante na pole sana jembe.!


Ufafanuzi wako mzuri sijui ni kweli?
 
Rewind kanda yaani udelete part ya Jana
 
Bado hujachelewa kapate dozi ya pep kwa mwezi Mzima mambo yatakuwa pouwa
 
Wahi hospitali ukapewe dawa za kuzuia maambukizi kisha baada ya wiki mbili nenda ukape kama umeupata.
 
kifoo oo kifoo... kifoo hakina huruma........ by remmy ongala

Mkuu usiogope, mpira uliutumia so ondoa shaka... ila utapungua uzito kidogo kabla haujaenda pima... usiogpe... inatokana na kuwaza sana... ila vpmo vtakuwa poa tu
 
Wakuu,

Katika pitapita yangu jana baada ya kupiga safari lager za kutosha si nikakutana na mrembo, maskini ya Mungu bila kujua kitu mwanaume nikakokota hadi geto nikajilia vyangu.

Maajabu leo katika kukagua kibegi chake nimekutana na ARV yaani hapa nimechanganyikiwa nimeamua tu nishinde bar kupoteza mawazo.

Embu nishaurini wakuu nimfanyaje huyu bidada manake japo nilitumia kinga sina furaha kabisa.

Hyooo safi mkuuu ajali kazini
 
Wakuu,

Katika pitapita yangu jana baada ya kupiga safari lager za kutosha si nikakutana na mrembo, maskini ya Mungu bila kujua kitu mwanaume nikakokota hadi geto nikajilia vyangu.

Maajabu leo katika kukagua kibegi chake nimekutana na ARV yaani hapa nimechanganyikiwa nimeamua tu nishinde bar kupoteza mawazo.

Embu nishaurini wakuu nimfanyaje huyu bidada manake japo nilitumia kinga sina furaha kabisa.

naomba namba ya hudo demu!
 
Back
Top Bottom