Nimefanya kweli

Nimefanya kweli

Hongera zako ma mamndenyi!! Eeh tupe na stori ya mwanao mndenyi !!
 
Hongera zako ma mamndenyi!! Eeh tupe na stori ya mwanao mndenyi !!

watoto ninao wengi,
wengine ni wajanja kama wewe hivyo hivyo
binti mwingine kamaliza form 4 mwaka huu
ndo najipanga panga kumtafutia masuala ya kupiga piano.
 
watoto ninao wengi,
wengine ni wajanja kama wewe hivyo hivyo
binti mwingine kamaliza form 4 mwaka huu
ndo najipanga panga
kumtafutia masuala ya kupiga piano.

Hongera mamy kwa kukuza kiasi hicho....pia hongera kwa dada yetu kwa kugraduate.Kweli..amefanya kweli!!!

Hapo kwenye nyekundu anapenda kupiga piano???
 
Kama ni mwanao..she is cute aisee!
Nimeangalia profile yake Facebook!
Mpe hongera zake!
ehh Rejao mbavu zangu kah umeniua kwa kicheko, yaan ilienda kupekua hadi kwa fb we kweli ww
 
Hongera sana kwakulea na kumpa Elimu bora.
 
Hongera sana mamndenyi!
Hongera kwa antonia!
Mungu amfungulie milango ya mafanikio.
 
ehh Rejao mbavu zangu kah umeniua kwa kicheko, yaan ilienda kupekua hadi kwa fb we kweli ww

uko fasta mzee nimekukubali. ILA kiukweli she is cuteeeee, Naturale. HONGERA ZAKE
hahah...:lol: nilijikuta tu nipo interested kumfahamu zaidi. si mnjua tena haya mambo huwa yanatokea automatically?
 
hahah...:lol: nilijikuta tu nipo interested kumfahamu zaidi. si mnjua tena haya mambo huwa yanatokea automatically?

Si ndo maana tumeitunuku speed yako kwa sifa ? tehe tehe....
 
Back
Top Bottom