Nimefall kwa mwanadada maarufu wa jf

Jamani wanaume wa Jf tuowane wenyewe kwa wenyewe msioe hao wa nje tupendane sisi kwa sisi na mm nikihitaji mme nakuja hapahapa sahv badobado
Usisahau kunitag siku hyo na mm niingie kwenye kinyang'anyiro
 
Wew ni maarufu sana kjf jf..haswa majukwaa yetu haya,,so nxt uzi subiria utakuta mjina wako mdomo wako utabaki wazi
Sikujua Kama Mimi ni maarufu. Sidhani km ni mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…