Nimefail kui-hack jamiiforums

mpige ban wewe
 

Melo mwenyewe alitoa ruhusa ya mtu kuhack kama ataweza.
 
Anza kwanza kujifunza kuhack vi-blog vya watu ukiweza uone una Experience gani kisha ufate na hii jamiiforums
 
Aaah aaah aaah unanikumbusha mbaali sana kuhusu hizi Termux kwa simu za Android na Kali Linux kwa computer zenye Linux OS.

Wacha wazee wa Termux waendelee kupambana maana sio kazi ya kitoto kucheza na hizo Metasploit framework na zile payloads.

Soon tutasikia JF ipo mikononi mwa team anonymous bila kujua aaah aaah aaah
Hizi kernel version bhaana wacha watu waumize vichwa kupambana na mambo ya coding kila kukicha.
 
Termux mzee inaweza kwa sababu ni family ya hiyo Linux kwa Android
 
We jamaa heshima kwako maana unanikumbusha mengi sana ambayo niliyasahau katika tasnia ya tech
 
Aaah aaah aaah loopholes na backdoors watu wanapenya huko maana tumezoea zile firewalls na kuna watu wana VPN humu ila siwezi kuwataja
Melo alianza kuilinda Jf kuanzia 2015 kwenye uchanguzi mkuu, sasa hivi ni ngumu sana na nirahisi kuona na kukudhibiti....

Site za nje ambazo hazina security ya kutosha ndiyo tunajifunzia huko...
 
Mkuu Jf hawawezi kumpiga ban wala kufuta hii thread wao wanataka watu haihack then wajue mapema madhaifu yao yapo wapi wayadhibiti mapema....

Najua kwa asilimia karibu 99% hakuna IT wa Tanzania anae weza kuihack Jf.... Sasa hivi Jf wamewekeza sana kwenye security zaidi ya chochote kile.....
 
Serikali inatumia Dos attack
Au somekind of WAN DNS Poisoning kwa internet provider wetu kufanya site iwe unreachable
 
Hehe utashika wasio jua computer aisee, ulichofanya hapo kwenye terminal mbona hamna kitu cha maana zaidi ya kuona stats tu za JF?

Hakuna website yoyote duniani unaweza hack kwa njia hiyo, hata website ambayo ina vulnerabilities zote ambazo zishawahi gunduliwa huwezi dukua hivyo. Em nenda kasome alafu urudi tena. Hacking most websites takes time, a long time na persistence, sio kuandika command moja tu kwenye terminal kama unavyoona kwenye movies.
 
Kumuelekeza mtu codding hamruhusiwi?? Sijawahi sikia hii


Miiko yangu ya kazi naifahamu mimi na Kaburu. Na kama nilisaini mkataba kukubaliana na hilo, siwezi ukiuka ili kusaidia mwana JF halafu mkataba wangu usitishwe nikose namna ya kujikimu kimaisha.

Japo Dadii yupo kama backup ila sipendi kuwa tegemezi.... Niko hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…