FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
SIYE WAKRISTO MKIOANA MMEOANA MPAKA KIFO KIWATENGANISHE SASA NYIE WA UARABUNI SIJUI MNAKUWA NA AKILI ZA WAPI
Ndiyo maana mnalea watoto si wenu.
Halafu 90% huko kwa Wakristo hakuna ndoa.
SIYE WAKRISTO MKIOANA MMEOANA MPAKA KIFO KIWATENGANISHE SASA NYIE WA UARABUNI SIJUI MNAKUWA NA AKILI ZA WAPI
Vipi kuhusu Flora Mbasha na ndoa zake au nae amekuwa wa uarabuni cku hizi???SIYE WAKRISTO MKIOANA MMEOANA MPAKA KIFO KIWATENGANISHE SASA NYIE WA UARABUNI SIJUI MNAKUWA NA AKILI ZA WAPI
Ndio maana wamevunjia mahakamani na sio kanisani.Kanisani wale bado wanandoa.Vipi kuhusu Flora Mbasha na ndoa zake au nae amekuwa wa uarabuni cku hizi???
Soma Biblia wewe, hata ndoa ya Kikristo pia ina Talaka, kuna mistari inasema, "atakayemuacha mkewe kwa sababu yoyote ile ISIPOKUWA UZINZI; atamfanya Mkewe awe mzinzi". Kwa maana hiyo basi hata ndoa ya Kikristo ina Talaka ila unaruhusiwa kumtaliki mkeo pindi utakapojua ni mchepukaji na sio tofauti na hapo.SIYE WAKRISTO MKIOANA MMEOANA MPAKA KIFO KIWATENGANISHE SASA NYIE WA UARABUNI SIJUI MNAKUWA NA AKILI ZA WAPI
Polee DadaNdiyo maana mnalea watoto si wenu.
Halafu 90% huko kwa Wakristo hakuna ndoa.
Polee Dada
Usikubali Kudate Na Muislamu Huyo Hajamfumania Wala Ninieddy nimecheka! kha stop that!hahaha!mie hata sijaelewa nikajua kakuta fumanizi!
Siyo Yeye Ila Dini Yake Ya Kiislamu ndo Imetaka HivyoKwaiyo ndo umeamua kumuacha mkeo au?
Usikubali Kudate Na Muislamu Huyo Hajamfumania Wala Nini