Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

Mkuu;
Asikudanganye mtu. Ulishamtamkia talaka tatu ni hivyo. Hakuna ubishi. Sasa, kwa kuwa; 1. Umemrudisha kinyume na uislam, huyo hakika sio mkeo. Unakaa na hawara tu mliyezaa naye tena nje ya ndoa tu. 2. Jiulize moyoni; Je ile hasira ya siku ile aliwahi kuiwasha tena? Kama jibu ni hapana, basi kajirudi sawia. 3. Kama moyo wako umemridhia tena na kujirudi, na kwa kuwa bado wampenda, shauri ni kuwa, mtafute nduguyo au swahiba wako wa kweli, umwombe akufungulie kifungo hicho. 4. Umurudishe kwao, asubuhi na mapema, saa 4 ujumbe uje wa kumtaka harusi na mahari ilipwe, mara baada ya alasiri, amtwae, aingie kwake, tawireyi amtaliki talaka 3. Asubuhi unamchukua awe mkeo ila usijaribu kuurudia tena ujinga wenu. 5. Hii ni kama unampenda na unaipenda familia yako. Kama sivyo, yaani huna hamu naye, achana naye. Mwambie arudishe talaka yake umpige 3 za kwakheri kabisaaaa. Msiichezee dini
 
hatari sana!
 
Mkuu kaa na mke wako achana na mambo ya Dini.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wewe mzinzi tu unataka kumuacha mkeo, hakuna lolote

Sent from my HUAWEI P8max using JamiiForums mobile app
 
Mkuu;
Asikudanganye mtu. Ulishamtamkia talaka tatu ni hivyo. Hakuna ubishi. Sasa, kwa kuwa; 1. Umemrudisha kinyume na uislam, huyo hakika sio mkeo. Unakaa na hawara tu mliyezaa naye tena nje ya ndoa tu. 2. Jiulize moyoni; Je ile hasira ya siku ile aliwahi kuiwasha tena? Kama jibu ni hapana, basi kajirudi sawia. 3. Kama moyo wako umemridhia tena na kujirudi, na kwa kuwa bado wampenda, shauri ni kuwa, mtafute nduguyo au swahiba wako wa kweli, umwombe akufungulie kifungo hicho. 4. Umurudishe kwao, asubuhi na mapema, saa 4 ujumbe uje wa kumtaka harusi na mahari ilipwe, mara baada ya alasiri, amtwae, aingie kwake, tawireyi amtaliki talaka 3. Asubuhi unamchukua awe mkeo ila usijaribu kuurudia tena ujinga wenu. 5. Hii ni kama unampenda na unaipenda familia yako. Kama sivyo, yaani huna hamu naye, achana naye. Mwambie arudishe talaka yake umpige 3 za kwakheri kabisaaaa. Msiichezee dini
I see...
 
We ni muhenga aliesema kisicho riziki hakiliki?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nawasalim sana,
Nimeamua kuandika hili hapa kiasi nipate fursa ya kulitoa moyoni mwangu kwani nipo kwenye mtihani mgumu sana. Leo hii mchana nikiwa nasikiliza mawaidha ya kiislam channel ten kutoka kwa Sheikh Mohamed Eid abu Eid, mada "matatizo katika talaka - (islamic)".

Kuna msikilizaji aliuliza swali kwamba ikiwa mwanaume katika hali ya hasira atatoa talaka "tatu" kwa kutamka, lakini punde akasema alighadhibika so itambulike ni moja, je hukumu ya kiislam inasemaje?
Jibu: Uislam hauna utani kwenye talaka, na mwanaume kapewa power ya talaka kwa kuaminiwa kwamba ni composed compared angepewa power hiyo mwanamke zingekuwa zinatumika dailly. so kitendo cha kusema tatu, itabakia kwamba umeacha talaka tatu na kuanzia hapo mwanamke sio mke wako na atakiwa arudi kwao. Utaruhusiwa kumuoa tena tu endapo ataolewa na mtu mwingine willingly na ataachika willingly bila fitna kutoka kwa mwanaume aliyekuwa amemuoa kabla.

Issue
miaka kama minne iliyopita iliwahi kutokea sintofaham kati yangu na mke wangu. Nakumbuka nikiwa nimelala mke wangu aliniamsha kwa hasira akitaka nimuache. Baada ya kumsihi na kushindwa nilitamka kumuacha talaka tatu...lakini aliponiomba nimuandikie kwa ajili ya uthibitisho kwao nikaandika moja. kwakua ikiwa moja au mbili mwanamke anatakiwa akae eda kwako, nilimruhusu abaki eda, na alhamdulillah siku ya pili tu aliniomba radhi nikamsamehe tupo hadi leo..

what next,
Leo tulikuwa na issue nyingine na wife, nilipokuwa ijumaa niliomba Allah anifaulishe katika mtihani wangu na wife katika kila sidja niliyoenda nikilenga amshushe jazba. Nilipofika nyumbani wakati nasubiri lunch, ndipo nikawasha channel ten marudio ya kipindi husika. Lahaula napigwa na butwaa kusikia hii kitu.

Nimebaki na butwaa nawaza kuwauliza masheikh wengine kama hili linakubalika katika madhehebu yote katika uislam. Na ikithibitika kuwa hakuna namna wakuu nitakuwa naagana na mpenzi wangu wa 15 years.

najiliwaza kwamba labda Allah anampango wake kwetu sisi wote. Labda ajali iliyotokea ilitakiwa itokeee kwa ajili ya kusimika maandiko. Labda ndoa yetu ilikuwa ya muda mahsusi na ililenga kupata watoto wetu.... Ikitokea nitaachananae nimeamua kumruhusu achague chochote katika mali zangu ambacho kitampa faraja aendako. Nitalea watoto wangu nakadhalika.

nawatahadhalisha wanaume wenzangu, muwe makini sana. Kwa atakaye muoa mke huyu namtakia kila la kheir. sina kinyongo atakuwa mke mwema kwako. nami inshallah huenda nitapata zaidi ya huyu...

regards,
Mahwelu
Kaa utulie na mkeo.
Hakuna talaka tatu kwa mpigo...
Na miaka minne ishapita huna hiana wala kinyongo na kwa maelezo yako ushamsamehe kwa dhati..hii ni kama gia ya kuondokea...
Mwenzio kakujibu vizuri kabisa kwenye hii post.
Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (SAD)
 
Misimamo ya hovyohovyo sana hii.
Mke kaghadhabika, kaomba talaka ukamkubalia ukamtandika talaka3, hajaenda popote akajuta na kukuomba msamaha, ukamsamehe yakaisha.
Iweje leo unatuletea jambo ulilokwishalirekebisha?
Tusemeje sasa? Kwamba achaneni kwa kuwa mlishapeana talaka siku ile usiku?
Na kwanza, mliposameheana haukumnanihii ili kufukuza ghadhabu na kisirani toka mioyoni mwenu? Si ndiyo huwaga suluhu ama?
Unapotandika jamvi kutaka mawazo toka vyanzo vya watu wenye madhehebu tofauti, lenga kupata ushauri wa sheria za kiserikali zaidi kwa kuwa misimamo ya kidini imetofautiana sana.
 
Wakuu nawasalim sana,
Nimeamua kuandika hili hapa kiasi nipate fursa ya kulitoa moyoni mwangu kwani nipo kwenye mtihani mgumu sana. Leo hii mchana nikiwa nasikiliza mawaidha ya kiislam channel ten kutoka kwa Sheikh Mohamed Eid abu Eid, mada "matatizo katika talaka - (islamic)".

Kuna msikilizaji aliuliza swali kwamba ikiwa mwanaume katika hali ya hasira atatoa talaka "tatu" kwa kutamka, lakini punde akasema alighadhibika so itambulike ni moja, je hukumu ya kiislam inasemaje?
Jibu: Uislam hauna utani kwenye talaka, na mwanaume kapewa power ya talaka kwa kuaminiwa kwamba ni composed compared angepewa power hiyo mwanamke zingekuwa zinatumika dailly. so kitendo cha kusema tatu, itabakia kwamba umeacha talaka tatu na kuanzia hapo mwanamke sio mke wako na atakiwa arudi kwao. Utaruhusiwa kumuoa tena tu endapo ataolewa na mtu mwingine willingly na ataachika willingly bila fitna kutoka kwa mwanaume aliyekuwa amemuoa kabla.

Issue
miaka kama minne iliyopita iliwahi kutokea sintofaham kati yangu na mke wangu. Nakumbuka nikiwa nimelala mke wangu aliniamsha kwa hasira akitaka nimuache. Baada ya kumsihi na kushindwa nilitamka kumuacha talaka tatu...lakini aliponiomba nimuandikie kwa ajili ya uthibitisho kwao nikaandika moja. kwakua ikiwa moja au mbili mwanamke anatakiwa akae eda kwako, nilimruhusu abaki eda, na alhamdulillah siku ya pili tu aliniomba radhi nikamsamehe tupo hadi leo..

what next,
Leo tulikuwa na issue nyingine na wife, nilipokuwa ijumaa niliomba Allah anifaulishe katika mtihani wangu na wife katika kila sidja niliyoenda nikilenga amshushe jazba. Nilipofika nyumbani wakati nasubiri lunch, ndipo nikawasha channel ten marudio ya kipindi husika. Lahaula napigwa na butwaa kusikia hii kitu.

Nimebaki na butwaa nawaza kuwauliza masheikh wengine kama hili linakubalika katika madhehebu yote katika uislam. Na ikithibitika kuwa hakuna namna wakuu nitakuwa naagana na mpenzi wangu wa 15 years.

najiliwaza kwamba labda Allah anampango wake kwetu sisi wote. Labda ajali iliyotokea ilitakiwa itokeee kwa ajili ya kusimika maandiko. Labda ndoa yetu ilikuwa ya muda mahsusi na ililenga kupata watoto wetu.... Ikitokea nitaachananae nimeamua kumruhusu achague chochote katika mali zangu ambacho kitampa faraja aendako. Nitalea watoto wangu nakadhalika.

nawatahadhalisha wanaume wenzangu, muwe makini sana. Kwa atakaye muoa mke huyu namtakia kila la kheir. sina kinyongo atakuwa mke mwema kwako. nami inshallah huenda nitapata zaidi ya huyu...

regards,
Mahwelu
Ila usiwaze sana jaribu kumtafuta Shekhe na umjuze kwa kile kilichotokea mana Talaka inaweza ikatamkwa na kuikamilisha kwa maneno

Talaka is not easy as you think bro

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu;
Asikudanganye mtu. Ulishamtamkia talaka tatu ni hivyo. Hakuna ubishi. Sasa, kwa kuwa; 1. Umemrudisha kinyume na uislam, huyo hakika sio mkeo. Unakaa na hawara tu mliyezaa naye tena nje ya ndoa tu. 2. Jiulize moyoni; Je ile hasira ya siku ile aliwahi kuiwasha tena? Kama jibu ni hapana, basi kajirudi sawia. 3. Kama moyo wako umemridhia tena na kujirudi, na kwa kuwa bado wampenda, shauri ni kuwa, mtafute nduguyo au swahiba wako wa kweli, umwombe akufungulie kifungo hicho. 4. Umurudishe kwao, asubuhi na mapema, saa 4 ujumbe uje wa kumtaka harusi na mahari ilipwe, mara baada ya alasiri, amtwae, aingie kwake, tawireyi amtaliki talaka 3. Asubuhi unamchukua awe mkeo ila usijaribu kuurudia tena ujinga wenu. 5. Hii ni kama unampenda na unaipenda familia yako. Kama sivyo, yaani huna hamu naye, achana naye. Mwambie arudishe talaka yake umpige 3 za kwakheri kabisaaaa. Msiichezee dini
Bro umenichekesha sana, kama nakuona vile ulivyokua unatype huku umekunja ndita, umeng'ata meno na misonyo juu, hahahaha,
sema nini?? ushauri wako nimeuvulia kofia, lol

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Back
Top Bottom