Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

383e1b46fa0db51927da4717afe5bca6.jpg



Nimekusaidia kugoogle.

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Uko na haraka saana, yawezekana ulikuwa unatafuta sababu madhubuti ya kutengana na mkeo.
Hata kama masahafu yanaelekeza hivyo na hakuna majadiliano mengine zaidi ya talaka.unapaswa kufikiria malezi ya watoto wako kwanza.kuliko kufikiria tamaa zako za mwili.kaa na mkeo mjadiliane yawezekana mkeo hana haja tena ya kuolewa na kuamua kubaki hapo na kulea watoto wake.
We ukahama na kwenda kuoa make mwingine ukawa unapeleka matumizi tu,au hats matumizi ni dhambi?
 
SIYE WAKRISTO MKIOANA MMEOANA MPAKA KIFO KIWATENGANISHE SASA NYIE WA UARABUNI SIJUI MNAKUWA NA AKILI ZA WAPI


eddy nimecheka! kha stop that!hahaha!mie hata sijaelewa nikajua kakuta fumanizi!
 
I'm sorry but you don't sound remorseful to me....as a matter of fact you seem almost relieved to have gotten rid of her.... you have everything planned out, division of assets, child support.... heck you are even already thinking of a new wife.... You have no love for this woman. She is better off without you!
You said it all.
 
Bro, huyo ni mkeo wala usiwe na shaka, mkumbatie, mbusu kwa upendo wote, lol

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Willingly mlete kwangu nijipigie

Dunia ingekuwa na mlango kuna Mtu ningemtoa nje
 
Dah ndoa hizi...ama kweli kuta za vyumba zinaficha mengi sana,ngoja nisitie neno zaidi,pole sana kiongozi..
 
Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga ??

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hiyo inahesabika umemuacha talaka moja...hakuna kitu kama talaka tatu Kwa mpigo..wallahu Aalam...ngoja nikipata wasaa nitakuwekea source!!

Thanks, Ukinipa fatwa za kutosha itanisaidia sheikh. Mambo ya Iman ni shida sana wakuu.... Naheshimu michango yenu sana kwenye humanitarian grounds...
 
Dini ukiishikilia unaweza kujikuta unafanya mambo ya ajabu ambayo hajawi kutokea.
Dini haina tofauti na ukabila n.k

UKIMUAMINI MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI HAKIKA HUWEZI KUFANYA MAAMUZI YA KIJINGA.
Mtoa uzi umenihuzunisha sana. Achana na Dini. Mrudie mkeo mlee watoto. Dini ni za duniani tu.
 
Talaka tatu uliyoisema kwa ulimi inahesabika moja na hata kama umesema mara mia hassa ikiwa una hasira. Ila ukirudia siku nyingine ina hesabika mbili na ukirudia siku nyingine ndipo ina kuwa tatu. Ila talaka ya maandishi inajitosheleza kuwa tatu kama umeandika tatu hata kama ni kwa wakati mmoja.... kama kwa sms ya simu whats up au barua n.k. kimaandishi ni ushahidi toshelezi inahesabika tatu. Na baadhi ya wana wazuoni pia wanaangalia hali uliye naye wakati unatoa talaka kama una hasira kwa matamshi ni moja na kama umetulia na ulikuwa huna hasira wala jazba basi ni tatu. Na mungu ni mjuuzi zaidi. Pia sio kila jibu ni sawa katika kila mazingira.
 
Back
Top Bottom