Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,110
- 1,475
Wakuu nawasalimu.
Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke.
Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia pepo limekataa kuja likinihofia.
Na kweli mganga hajachukua kwangu hata shilingi kwa kazi ile.
Hii ni mara ya tatu waganga wanashindwa kupandisha mapepo yao, sijui shida ni nini.
Mzigo wangu ni mkubwa sana na naendelea kupitia moto ambapo sasa hata mke wangu anakaribia kurudi kwao aachane na mimi.
Nadhani nakufa