Nimeenda kwa mganga ameshindwa kupandisha pepo

Kuna watu watakuambia huko kuna mafanikio
Wengi watakupa shuhuda ya vile walivyofanikiwa
Lakini wewe hata ukeshe huko hutopata matokeo. Rudi kwa Mungu wako tuu
Tatizo hata uyo Mungu unaemwambia amrudie siyo Mungu wake ni Mungu wa Ibrahim
 
Tatizo hata uyo Mungu unaemwambia amrudie siyo Mungu wake ni Mungu wa Ibrahim
Mungu ni wa mtu. Mtu yule aliyemfuta na kumuamini

Mungu wa Ibrahim, Ndio Mungu wa Isaka na Israel yaani Yakobo na Musa na wengine wengi. Na huyohuyo Mungu ni wako, huyohuyo Mungu ni wangu
 
Back
Top Bottom