Nahisi niko na pepo la ngono

save22

Member
Sep 27, 2022
73
190
Ni hivi,mimi kijana wa kiume 30+ tatizo langu kubwa nikupenda ngono hadi najichukia maana naweza lala na wanawake zaidi ya watano kwa siku na bado nakuwa na uhitaji wa kungonoko tu,hii imepelekea kuwapa mmba wanawake zaidi ya watano na wote wako na watoto maana wengi wao kutoa mimba hawakutaka Kiufupi uraibu wa Ngono umefanya mpaka maisha yangu kuwa Magumu.

Kwangu suala la nguvu za kiume huwa nashangaa mtu akisema anashida ya nguvu za kiume najiuliza inakuwaje maana kwangu mimi kila mara uume inadinda mpaka muda huu naandika uume umedinda,nahisi niko na shida kichwa au niko na pepo la ngono maana naona sio kawaida,Msaada kwa ushauri na tiba kama ipo.

Note:mimi ni mtu niko bize sana lkn likija suala la kuwaza ngono hapo hapo nadele gate Kazi kwa wasaidizi wangu na kutafuta mabusu na uzuri na cheza kwa step na kingine nawachukia sana mademu wavivu kwenye shoo sijui kiufupi kuielezea hali yangu lkn kiufupi ni hivyo wakuu
 
kila mara uume inadinda mpaka muda huu naandika uume umedinda
hapana aisee.... hii ni chai🚮
19.jpg
 
Ni hivi,mimi kijana wa kiume 30+ tatizo langu kubwa nikupenda ngono hadi najichukia maana naweza lala na wanawake zaidi ya watano kwa siku na bado nakuwa na uhitaji wa kungonoko tu,hii imepelekea kuwapa mmba wanawake zaidi ya watano na wote wako na watoto maana wengi wao kutoa mimba hawakutaka;Kiufupi uraibu wa Ngono umefanya mpaka maisha yangu kuwa Magumu.Kwangu suala la nguvu za kiume huwa nashangaa mtu akisema anashida ya nguvu za kiume najiuliza inakuwaje maana kwangu mimi kila mara uume inadinda mpaka muda huu naandika uume umedinda,nahisi niko na shida kichwa au niko na pepo la ngono maana naona sio kawaida,Msaada kwa ushauri na tiba kama ipo.
Note:mimi ni mtu niko bize sana lkn likija suala la kuwaza ngono hapo hapo nadele gate Kazi kwa wasaidizi wangu na kutafuta mabusu na uzuri na cheza kwa step na kingine nawachukia sana mademu wavivu kwenye shoo sijui kiufupi kuielezea hali yangu lkn kiufupi ni hivyo wakuu
Poleeeee 🙄🙄🙄
 
Nilikua nasubir part ya kuhusu hali yako ya kiuchumi baada ya kuona huna maisha na unapenda ngono,sina cha kukushaur
Kiukweli hii hali inanitesa sana naweza piga mshindo hata 5ml kwa siku lkn sehemu kubwa najikuta inaishia kwenye ngono tu
 
Back
Top Bottom