Nimedhamiria kumtongoza mke wa Mchungaji wangu

Hao jamaa ndio wanaoongoza kula sadaka pamoja na kuwala watoa sadaka. Nenda na wewe ukachukue sadaka yako kwa mama mchungaji.
 
Mimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na kiunoni(UDHAIFU WANGU NAMBA MOJA). Hivyo nimekaa na kutafakari, nimeamua liwalo na liwe. Lakini nikakumbuka hiki:

Kuna JF, hapo nikawasha 'data' na kuingia jamvini, chai sijanywa mpaka muda huu, kichwa chote cha moto. Nilibahatika kumuona alikuwa kainama, nikaona nyama kwa bahati mbaya. From then to now sipo 'okay'.

Mna nini cha kuniambia ndugu zangu? Ratiba inasema kufikia kesho mchana kila kitu kinatakiwa kiishe, mna masaa machache ya kunishauri.

Karibuni!
Tenda kama ulivyofikiri, Maana hata wao wanakula Kondoo. Pengne hao kondoo ni Dada au Manzi wako.
 
[emoji1787][emoji1787] we jamaa hauko sawa, kwamba anajua kabla hujamfata mke wake. Naomba kuuliza na mabinti zao pia ukiwafata anafunuliwa
Wachungaji uchwala tu hawa hakuna Maono wala nn labda Miuno.
 
Wokovu ni Neema ambayo inatoka kwa Mungu peke yake hivyo Kuna wokovu wa kujipa ( huu wanao wengi) ukiacha mtoa mada ambapo Yeye hana kitu hata kimoja vyote katunga tu kujiflaisha. Yeye amekwisha kupokea mshahara wake.

Mchungaji wa kweli aliye simama na Mungu wala huwezi kufanya vitu kama hivo asijue kabla hata hujafikir ili akuombee maana sio wewe ni Roho chafu inakunyemelea. Mungu sio Mshamba aone shetani anataka kuleta taflan akuangalie tu wewe amekuchagua hiyo roho umeitoa wap ikiwa anajua hadi anachokiwaza Fisi.

Mungu hufunua kabla chochote hakijatukia utashangaa kajuaje kaa vizuri na Mungu hata wewe anakufunulia mpaka mambo ya nchi ili uombe.

Shetani anatumia watu vibaya sana. Pole na Mungu anaehukumu kwa haki akurehemu kwa uongo wako.
Hatimae umefika baba
 
Nipo nimeona habari zako. Mimi sio Baba wala sio mchungaji bali ni Yule ambae shetani alinitesa sasa ni zamu yangu.
Sawa sio Mchungaji wala sio baba,
Ila Hili jukwaa halikufahi maana tayari wewe mwenyewe upo kwenye mzaha na wanaofanya mzaa.
Mimi naona ungejikita kwenye majukwaa ya siasa na teknolojia huku ungeanzisha nyuzi za mahubiri.
 
Ushauri wako ni mzuri. Kwa mafanikio yako bila Shaka hatupangiani ignore
 
Ofcourse not,
The choice is yours

Jf nimejoin 2015 dada wewe 2017 sijawahi kukoment wala kupost chochote kumbu kumbu yangu inaniambia nimeanza mwaka huu. Kama choice ni yangu ulitakiwa ujue hivo kabla ya ushauri wako. Sikuja kuchekeshabau kufurahisha mtu. Lakini sijatukana mtu. Nenda ww kwenye siasa, nenda wewe kwenye unapotaka. Miaka yote nasoma tu. Then mnataka Mawazo Yenu tu. Anzisha Jukwaa lako Mama. Humu ni uvumilivu na kupendana wapo Mods ndo kazi yao. Waombe wanipeleke huko
 
Mimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na kiunoni(UDHAIFU WANGU NAMBA MOJA). Hivyo nimekaa na kutafakari, nimeamua liwalo na liwe. Lakini nikakumbuka hiki:

Kuna JF, hapo nikawasha 'data' na kuingia jamvini, chai sijanywa mpaka muda huu, kichwa chote cha moto. Nilibahatika kumuona alikuwa kainama, nikaona nyama kwa bahati mbaya. From then to now sipo 'okay'.

Mna nini cha kuniambia ndugu zangu? Ratiba inasema kufikia kesho mchana kila kitu kinatakiwa kiishe, mna masaa machache ya kunishauri.

Karibuni!
We jamaa !!
 
[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
1656600449826.png
CCM kwa kupenda umbea, yaani haya ndio wwanayayazungumza kwenye groups zao
 
"Kila amtazamaye mwanamke na kumtamani moyoni mwake amekwisha zini naye "

Hii ni nukuu ya Yesu mwenyewe, sasa we mjinga umeshamgegeda mke wa pastor, bado unaniita mlokole? Tubu kabla hujatwaliwa kwenda jehanam na kupotea mazimaa
 
Wahuni 3:4-7
Enyi wahuni sarandieni utamu kwakua Utamu ni utamu hata ikiwa katika ngome ya mfalme

Wahuni 3:8-9
Muhuni hazeeki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom