Nimedhamiria kumtongoza mke wa Mchungaji wangu

Wokovu ni Neema ambayo inatoka kwa Mungu peke yake hivyo Kuna wokovu wa kujipa ( huu wanao wengi) ukiacha mtoa mada ambapo Yeye hana kitu hata kimoja vyote katunga tu kujiflaisha. Yeye amekwisha kupokea mshahara wake.

Mchungaji wa kweli aliye simama na Mungu wala huwezi kufanya vitu kama hivo asijue kabla hata hujafikir ili akuombee maana sio wewe ni Roho chafu inakunyemelea. Mungu sio Mshamba aone shetani anataka kuleta taflan akuangalie tu wewe amekuchagua hiyo roho umeitoa wap ikiwa anajua hadi anachokiwaza Fisi.

Mungu hufunua kabla chochote hakijatukia utashangaa kajuaje kaa vizuri na Mungu hata wewe anakufunulia mpaka mambo ya nchi ili uombe.

Shetani anatumia watu vibaya sana. Pole na Mungu anaehukumu kwa haki akurehemu kwa uongo wako.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Unazungumzia mchungaji gani siku hizi hamna wachungaji....pole yako utageuzwa msukule uende ukatoe ushuhuda hapo hapo church
 
Wokovu ni Neema ambayo inatoka kwa Mungu peke yake hivyo Kuna wokovu wa kujipa ( huu wanao wengi) ukiacha mtoa mada ambapo Yeye hana kitu hata kimoja vyote katunga tu kujiflaisha. Yeye amekwisha kupokea mshahara wake.

Mchungaji wa kweli aliye simama na Mungu wala huwezi kufanya vitu kama hivo asijue kabla hata hujafikir ili akuombee maana sio wewe ni Roho chafu inakunyemelea. Mungu sio Mshamba aone shetani anataka kuleta taflan akuangalie tu wewe amekuchagua hiyo roho umeitoa wap ikiwa anajua hadi anachokiwaza Fisi.

Mungu hufunua kabla chochote hakijatukia utashangaa kajuaje kaa vizuri na Mungu hata wewe anakufunulia mpaka mambo ya nchi ili uombe.

Shetani anatumia watu vibaya sana. Pole na Mungu anaehukumu kwa haki akurehemu kwa uongo wako.
[emoji1787][emoji1787] we jamaa hauko sawa, kwamba anajua kabla hujamfata mke wake. Naomba kuuliza na mabinti zao pia ukiwafata anafunuliwa
 
Why not. Ukoo mzima na Majiran pia haijarishi wadhambi lakini Mungu anawapenda na anawahurumia. Ukiona ukoo wako kuna mtu kapokea Neema ya wokovu wala usimdharau maana hudharaulika. Ni mpaka kanisa lake hakuna wakuguswabna mabaya.

Yeye ataomba Ndio maana hasa ya kutoa fungu la kumi hali bure hiyo Ndio gharama yake. Sasa fungu la kumi jenyewe unaiba unategemea mabaya yasikupate. Hata mchungaji nazungumzia alie simama na Mungu kwa uaminifu akizingua anafundishwa adabu asimzoe Mungu.

Sisi si tunamzoea Mungu dunian humu. Kuna watu wanaishi maisha ya mbinguni wakiwa dunian.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom