Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 1,153
- 1,732
Ukafanikiwe sawa sawa na matanio yako
Utakufa, kumbuka Farao na Mke wa Abraham.Mimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na kiunoni(UDHAIFU WANGU NAMBA MOJA). Hivyo nimekaa na kutafakari, nimeamua liwalo na liwe. Lakini nikakumbuka hiki:
Kuna JF, hapo nikawasha 'data' na kuingia jamvini, chai sijanywa mpaka muda huu, kichwa chote cha moto. Nilibahatika kumuona alikuwa kainama, nikaona nyama kwa bahati mbaya. From then to now sipo 'okay'.
Mna nini cha kuniambia ndugu zangu? Ratiba inasema kufikia kesho mchana kila kitu kinatakiwa kiishe, mna masaa machache ya kunishauri.
Karibuni!
Vipi ulifanikiwa mkuuMimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na kiunoni(UDHAIFU WANGU NAMBA MOJA). Hivyo nimekaa na kutafakari, nimeamua liwalo na liwe. Lakini nikakumbuka hiki:
Kuna JF, hapo nikawasha 'data' na kuingia jamvini, chai sijanywa mpaka muda huu, kichwa chote cha moto. Nilibahatika kumuona alikuwa kainama, nikaona nyama kwa bahati mbaya. From then to now sipo 'okay'.
Mna nini cha kuniambia ndugu zangu? Ratiba inasema kufikia kesho mchana kila kitu kinatakiwa kiishe, mna masaa machache ya kunishauri.
Karibuni!
Jiue mchungaji na mkewe watskuja kukusalia sasa hapo mama wa mchungaji atakapopita wakati wa kukuaga mtupie neno lako na mrushie pete.Mimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na kiunoni(UDHAIFU WANGU NAMBA MOJA). Hivyo nimekaa na kutafakari, nimeamua liwalo na liwe. Lakini nikakumbuka hiki:
Kuna JF, hapo nikawasha 'data' na kuingia jamvini, chai sijanywa mpaka muda huu, kichwa chote cha moto. Nilibahatika kumuona alikuwa kainama, nikaona nyama kwa bahati mbaya. From then to now sipo 'okay'.
Mna nini cha kuniambia ndugu zangu? Ratiba inasema kufikia kesho mchana kila kitu kinatakiwa kiishe, mna masaa machache ya kunishauri.
Karibuni!
Mhhhh yule ulokua nae akapandisha mapepo naona kuna pepo mmja alikuingia ndo mana unataka ukatolewe mapepo, Na mke wa mchungaji...... Usisahau sadaka ya shukraniMimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na kiunoni(UDHAIFU WANGU NAMBA MOJA). Hivyo nimekaa na kutafakari, nimeamua liwalo na liwe. Lakini nikakumbuka hiki:
Kuna JF, hapo nikawasha 'data' na kuingia jamvini, chai sijanywa mpaka muda huu, kichwa chote cha moto. Nilibahatika kumuona alikuwa kainama, nikaona nyama kwa bahati mbaya. From then to now sipo 'okay'.
Mna nini cha kuniambia ndugu zangu? Ratiba inasema kufikia kesho mchana kila kitu kinatakiwa kiishe, mna masaa machache ya kunishauri.
Karibuni!
Kabisa mama![emoji24][emoji24]Bora amekuwa mkweli. Asilimia kubwa ya wanaojiita walokole wana dhambi kuliko shetani mwenyewe.
Unanidatisha mno weweHatimaye wenye manyama uzembe tumekumbukwa kweli Mungu mkubwa.
AhsanteHao jamaa ndio wanaoongoza kula sadaka pamoja na kuwala watoa sadaka. Nenda na wewe ukachukue sadaka yako kwa mama mchungaji.
Hamna kaka yangu deeppond! Much respect to you.Wee jamaa mkorofi Sana,
Unataka kula vya madhabauni?
WowUkafanikiwe sawa sawa na matanio yako
Hadithi ya wapi hiyo?Utakufa, kumbuka Farao na Mke wa Abraham.
IdiotMimi ni muokovu safi, nasali kanisa X hapa DSM(samahani sijatoa salamu). Kama nilivyokwisha kusema awali napenda minyama uzembe, basi huyu mama ana nyama uzembe kama zote, hasa za tumboni na kiunoni(UDHAIFU WANGU NAMBA MOJA). Hivyo nimekaa na kutafakari, nimeamua liwalo na liwe. Lakini nikakumbuka hiki: