Nimedata na jirani yangu mke wa mtu

[Hahaaa haaaa bahat mbaya mume wake yupo kikazi mwanza na anakuja mara moja moja.

NOTED

Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja.

Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.

Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.

Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.

NOTED.
Jiangalie kijana huo sio ujanja utakuja kuumia kama sio kupotea very soon. Acha kusogelea wake za watu ridhika na hali yako ukishindwa tafuta wa size yako uhangaike nae.
Hakuna kitu kinachukiza kama mkeo kuwa na mahusiano na mwanaume ama kijana mwingine.
Siku njema.

Nimekuelewa mkuu
 
Mkuu unasikitisha sana...kweeeli unaomba msaada wa mawazo? Mchawi akitaka kuloga haombi ushauri kwa mtu yoyote.

Why her? watu wamegharamia wewe unataka kuchukua kiulaini? Wewe unatofaut gani na kwelea kwelea wanaokula mpunga wa mkulima kule shambani? mkulima anateseka wao wanasubiri wavune halafu wao inawezekana ni bora kuliko wewe sababu hawana uwezo wa kulima ila wewe unaacha kutafuta size yako kwa kigezo cha kuogopa gharama unataka kuvunja ndoa usiojua imepitia changamoto gani? Kua na aibu ana uache mawazo yanayoongozwa na AKILI ZA USIKU

Well said n tanx kwa ushauri
 
Hilo nimefikiria sana, ila mpaka naandika humu ujue nimeamua kukutana na hayo matatizo

Ulipotoa details/tags za buibui, jirani yangu, anakaa mwanza, anakuja mara moja tayari umeshajiweka kwenye target ya kuwa kitoweo.
 
Mngojee mwezi wa mfungo;
akienda kununua futari mwambie unaomba
na wewe akununulie ya kwako;

Akileta chenji yote mwachie,
Na kesho rudia hivyo hivyo
walau kwa muda wa juma zima;

Utaona tu ameanza kukufurahia;

................... Ila uwe makini, wakikushtukia tu
kimekula kwako................
 
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia.

Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.

Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.

Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.
Hebu wanajanvi na wazoefu katika hili nisaidieni some hooks up tactics za kumpata
Ndugu yangu "nikusihii !! siyo kila ukipendacho lazima ukipate " Tafadhali kaa mbali na upuuzi wako, kuwa mbali na ushetwani wako, Jiepushe na zinaa, na zaidi mke wa mtu ni Poison.... usione anakuchekea au mazoea ukajua mengine.
KESHO tu, nawe utatendewa kama ulivo tenda !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom