Nimedata na jirani yangu mke wa mtu

Nimedata na jirani yangu mke wa mtu

Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia.

Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.

Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.

Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.
Hebu wanajanvi na wazoefu katika hili nisaidieni some hooks up tactics za kumpata

mtoto mdogo unatamani vya kwetu, haya nenda akubemende
 
Ni ngumu sana kumtongoza mke wa mtu huku ukiwa unajua kabisa kwamba ni mke wa mtu huku ukiwa na akili timamu!!
 
Usijaribu hicho kitu mimi nilisha fumaniwa na mke wa mtu.
 
Unaumwa ungonjwa wa akili. Ungekuwa na akili nzuri zisinge kutuma kumtongoza mke wa mtu.
 
vijana wenzako wanatafuta hela wewe unatafuta wake za watu... chalii either ushike ukuta au ufe kabisa
 
bongo maskini afu mtu anashangaa... kuna wajinga wengi sana aisee
 
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia.

Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.

Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.

Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.
Hebu wanajanvi na wazoefu katika hili nisaidieni some hooks up tactics za kumpata

uache kutongoza visijana size yako ukamtamani mama yako...uvivu wa kufikiri na kutaka maisha rahisirahisi vitakumaliza.
 
Mkuu unasikitisha sana...kweeeli unaomba msaada wa mawazo? Mchawi akitaka kuloga haombi ushauri kwa mtu yoyote.

Why her? watu wamegharamia wewe unataka kuchukua kiulaini? Wewe unatofaut gani na kwelea kwelea wanaokula mpunga wa mkulima kule shambani? mkulima anateseka wao wanasubiri wavune halafu wao inawezekana ni bora kuliko wewe sababu hawana uwezo wa kulima ila wewe unaacha kutafuta size yako kwa kigezo cha kuogopa gharama unataka kuvunja ndoa usiojua imepitia changamoto gani? Kua na aibu ana uache mawazo yanayoongozwa na AKILI ZA USIKU
akili za usiku kidogo zingempa mwanga... anaongozwa na akili za kichwa cha chini
 
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia.

Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.

Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.

Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.
Hebu wanajanvi na wazoefu katika hili nisaidieni some hooks up tactics za kumpata
kwanza acha uzinifu,pili nijuavyo mm hiyo ni vita kati yako na huyo mama & pia mumewe kwani ukimwambia anakataa na kwanda kwa mumewe ili upambane nae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom