naye ana moyo ukishamwambia wampenda kwanza atajisikia furaha fulani moyoni, mwanzoni atakuwa mkali ila polepole atalegeza moyo...lakini yoote hayo achana nayo, we ni kijana usijiingize katika vita visivyo na lazima dhidi ya mme wake, tafuta wako, tafuta mafanikio