Nimedata na jirani yangu mke wa mtu

Nimedata na jirani yangu mke wa mtu

Ushauri wangu ni wathamani sana hivyo siwezi kuutoa kwenye mambo ya kijinga kama haya.
 
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia.

Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.

Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.

Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.
Hebu wanajanvi na wazoefu katika hili nisaidieni some hooks up tactics za kumpata

Ndugu chura anapenda maji, lakini siyo ya moto.
 
[Hahaaa haaaa bahat mbaya mume wake yupo kikazi mwanza na anakuja mara moja moja.

NOTED

Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja.

Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.

Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.

Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.

NOTED.
Jiangalie kijana huo sio ujanja utakuja kuumia kama sio kupotea very soon. Acha kusogelea wake za watu ridhika na hali yako ukishindwa tafuta wa size yako uhangaike nae.
Hakuna kitu kinachukiza kama mkeo kuwa na mahusiano na mwanaume ama kijana mwingine.
Siku njema.
 
Correct me if I'm wrong, mtu anayelala na mke wa mtu hamnazo kabisa...
...single ladies walivyojaa, hadi watu wanakimbia!!!
 
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia.

Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.

Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.

Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.
Hebu wanajanvi na wazoefu katika hili nisaidieni some hooks up tactics za kumpata
Wasichana wote hao wanaohangaika kutafuta mabwana wewe huwaoni?
 
Nilikuwa nakushangaa lakini nilipoona avatar yako mshangao ukakatika!!
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia.

Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.

Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.

Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.
Hebu wanajanvi na wazoefu katika hili nisaidieni some hooks up tactics za kumpata
 
hivi unajua kwa nini jamii haishauri kumdandia mke wa mtu?....asilimia kubwa wagonga wake za watu ni wazee wa mikuyati sasa kinachofuata yule mwanamke anaunda kipele chini(i.e kisaikolojia) na kila kikiwasha tu anamtafuta mkunaji wake, ikifikia hapo lazima udakwe na mwenye mali,,,,,hahahah hapo sasa hata ukiliwa kiboga sawa tu si umejitakia mwenyewe
 
Wanajamvi nimetokea kumpenda kimapenzi mama mmoja jirani yangu ila kuna pingamiz ambazo zinanifanya niogope kumwambia.

Kwanza amenizidi umri kwan yeye ni mama mwenye watoto watatu na ameolewa ila mm nikijana wa kawaida.

Pili naona kama ameshika dini kwan full time anavaa baibui na pia ni mkali sana hata akiwa anaongea kawaida mtu usiye mjua unaweza sema amekasirika.

Nimezoeana naye kimtindo ila naanya kumtel kwan naogopa anaweza kasirika yakawa mengine.
Hebu wanajanvi na wazoefu katika hili nisaidieni some hooks up tactics za kumpata
Ulaaaniwe mjinga mkubwa wewe
 
Mkuu unasikitisha sana...kweeeli unaomba msaada wa mawazo? Mchawi akitaka kuloga haombi ushauri kwa mtu yoyote.

Why her? watu wamegharamia wewe unataka kuchukua kiulaini? Wewe unatofaut gani na kwelea kwelea wanaokula mpunga wa mkulima kule shambani? mkulima anateseka wao wanasubiri wavune halafu wao inawezekana ni bora kuliko wewe sababu hawana uwezo wa kulima ila wewe unaacha kutafuta size yako kwa kigezo cha kuogopa gharama unataka kuvunja ndoa usiojua imepitia changamoto gani? Kua na aibu ana uache mawazo yanayoongozwa na AKILI ZA USIKU
 
Kwa kuwa ni mke wa mtu na kwamba ninyi ni majirani na kwamba sisi ni watu back, huoni ukiomba ushauri kwa mumewe ni wa haraka na karibu zaidi kabla ya sisi wa mbali kukushauri?
 
Mkuu mke wa mtu sumu angalia wasije wakakumwagia Mayonaise kwenye masaburi yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom