Nimedanganywa mara tatu!

pole mama kubwa.........tulia panga namna ya kumlea mwanao na maisha yako...........ukifikiria sana kwa yaliyotokea nyuma utashindwa kusonga mbele..........kwa vile umedanganywa mara 3 naamini utakuwa mwangalifu

wanaume na sie huangaliaga weak point.. then twa hit hapo hapo.. pole mamdogo

afadhali umemstua,si unaona bujibuji keshaanza ku-offer faraja? atafarijiwa na mtoto wa tatu sasa hivi!
wanaume na sie huangaliaga weak point.. then twa hit hapo hapo.. pole mamdogo

Ndugu zangu naomba msaada katika maisha yangu nimedanganywa mara nyingi lakini mara tatu nimefanywa mjinga hadi najiona sifai

1.nilidanganywa na mwanaume akanizalisha akaniacha

2.nilipata mwanaume mwingine akanitapeli kumbe ana mke na watoto

3.nilikutana na mume aliyenizalisha akaahidi kunisaidia kutunza mtoto kibaya mazingira yalinifanya nishirikiane nae kanitosa tena
chonde naomba msaada wa mawazo lakini msinitukane mtazidi kuniumiza
pia una tatizo la kukokotoa haiwezekani kila saa ufungwe wewe tu

Kuna mtu mmoja tu anayeweza kukupenda ww, akakuthamini, asikuumize na mengine mazuri na that person is YOURSELF, jisamehe kwanza as unaonekana kama unajilaumu, then jipange upya! Ukifanya choice mbaya do nt regret ila learn from it as u cant go back and delete the scene, it is there so isahau no matter worse it is, kwa sababu at first ulivyofanya hicho kitu ulitaka. We learn by every second of our existance, jipange as u yaani map ur life till uzeeni like nitafnya hivi vile na vile kwa kutumia njia hii na ile, akitokea wa ukweli merge ur goals n wishes ila ukisema nasubiri fulani atokee tufanye wote he might come ver late or asije. Ukiwa na ramani nzuri ya maisha hautakuwa frustrated na muda unavyoenda bila anayeeleweka.

mwenzangu hukusoma alama za nyakati mapema, mie kama wewe ila namba moja tu ilinitosha mpenzi, wewe ukaendelea na kuendelea, pole sasa angalia maisha yako tu maana usikose kote kwa uvivu wa kufikiri

Ndugu zangu naomba msaada katika maisha yangu nimedanganywa mara nyingi lakini mara tatu nimefanywa mjinga hadi najiona sifai

1.nilidanganywa na mwanaume akanizalisha akaniacha

2.nilipata mwanaume mwingine akanitapeli kumbe ana mke na watoto

3.nilikutana na mume aliyenizalisha akaahidi kunisaidia kutunza mtoto kibaya mazingira yalinifanya nishirikiane nae kanitosa tena

chonde naomba msaada wa mawazo lakini msinitukane mtazidi kuniumiza

<br /
POLE DADA LAKINI WEWE NI KICHECHE ILA KUNA DAWA NITAKUSHAURI UKINI PM ILI UPUNGUZE MAKALI

okay girl u gat fake nailz,fake eyez,fake hair,fake ass.....n u expect to get a real man!!!!!!dream ova!!!!

tubadilike na sie, tusilalamikie sana wanaume

wow i love this and its comin from a lady...

hata huyo mwanaume sidhan kama alikua na nia ya kukuzalisha kisha akuachie mtoto,what i think is that nyie hamkua tayari kuanzisha familia,mayb hata huyo dogo alizaliwa bahati mbaya tu...cha msingi ni kwamba umejifunza vya kutosha making same kind of mistake will prove that you are foo.l...so let me take this chance to advice you to forgive and forget,Go on with life and stop thinking about the past,just take care of the kid and find better ways to improve your life...thats all Madam

okay girl u gat fake nailz,fake eyez,fake hair,fake ass.....n u expect to get a real man!!!!!!dream ova!!!!

Du hako kamsemo hakaendani kabisa na issue ya huyu dada! Katafutie thread nyingine katakuwa na maana, si eti eeh!

Nini hasa unacho taka toka kwetu? Umetoswa sawa je bado unawahitaji wanaume? Umezalishwa je bado wahitaji mtoto? Funguka zaidi mama what do you wnt kwetu?
Mtangulize mungu kwa kila jambo!!
Siku hizi machipuko ya kiroho yametanda kila pembe ya tz na ndio kimbilio la waliokosa matumaini kama wewe! Hima nena kapate tumaini jipya!

Mikono unayo, miguu unayo, macho unayo, akili pia unayo na istoshe Mwenyezi Mungu kakujalia na watoto kabisa, then kwanini kunung'unika?? Ewe kiumbe mwanamke fanya kazi ulee wanao na wewe mwenyewe pia! Kila la heri!

pole sana! nadhani sasa kuna kila sababu ya wewe kuwa makini, ucpende kuwaamin watu kirahisi, sisi wanaume ni wajanja sana, twajua vyema kucheza na mdomo! Mwombe Mungu akusaidie kusahau na kufungua ukurasa mwingine wa maisha yako. Pole sana!

jamani naomba msini pm mawazo mliyonipa kwa ujumla wenu yanatosha hata mie sitampm mtu kwenye hili asante kwa mawazo yenu nitayafanyia kazi

Tulia mama mkubwa, mhusishe Mungu katika maisha yako, na kwa wakati uliokubalika atakupa mume mzuri ambaye hatakuumiza. Pole sana.

sasa ni waakti muafaka wa kusimama wewe kama wewe,wanaume waweke pembeni then fanya michakato ya maisha yako na watotowako tu

naamini ni kipindi ambacho unatakiwa ukae utulie .. kuwa na mahusiano na mwanaume si lazima mpate mtoto .. unaweza kuwa naye kwa kuliwazana tu ... sasa mama unapokimbilia kuwa na mtoto je utakuwa nao wangapi???

Usijali mama..., maana hata mzaliwa wa Kariakoo, aliyekulia, aliyesomea na kufanya kazi Kariakoo, hawezi kuujua mji vema hadi siku moja ameingizwa mjini....!

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom