Nimedanganya jinsia yangu

Nimedanganya jinsia yangu

Ukhanithi unaanza hivhivi.... utazoea kula pesa za wanaume wenzako lakini kumbuka za mwizi 40
 
Ivi unaanzaje kijiunga magroup ya what's app ambalo una mtu unayejuana nae lazima litakuwa la mambo ya ngono tu kama la biashara au mpira awezi kuzungumzia ngono atume paka nauli pili wewe ni mwanaume Wa aina gani ambaye umeweza kujifanya mwanamke na kutumia mbinu za kike ukatumiwa nauli ndugu mwanaume Wa kweli awezi Fanya ujinga hu ata kidogo jichunguze unapoelekea Kwa Obama
 
Ivi unaanzaje kijiunga magroup ya what's app ambalo una mtu unayejuana nae lazima litakuwa la mambo ya ngono tu kama la biashara au mpira awezi kuzungumzia ngono atume paka nauli pili wewe ni mwanaume Wa aina gani ambaye umeweza kujifanya mwanamke na kutumia mbinu za kike ukatumiwa nauli ndugu mwanaume Wa kweli awezi Fanya ujinga hu ata kidogo jichunguze unapoelekea Kwa Obama
Nimekuelewa vizuri sana tu mkuu
 
chat na hao hao ,ukichat na machali wa mombasa lazima tukutumbue kidude chako
 
Habari wana jamiiforum.Mimi nikijana wa kiume mwenye umri wa miaka kati ya 20-25 hivi.Siku moja nilisitukia nimeingiza kwenye group moja la whatsapp(jina kapuni) pasipo mimi kuwa na taarifa yoyote ile,sasa kule kuingizwa nikawa napimishia tu chating zako nikawa nimetuma sms ya HODI wadau wakaitia karibu.Kuna mdau moja akawa ametuma sms ya mgeni tunaomba picha yako nikatuma picha ya demu fulani hivi mzuri sana wadau wakaanza ooh mgeni we mzuri sana mara ooh mgeni upo wapi mara ooh mgeni nimekupenda nikasitukia mdau moja kanifata inbox nikawa nachati nae na ikumbukwe kuwa hapo nimeficha,nimeongopea jinsia yangu so jamaa akawa anajua kuwa anachati na demu kwa sababu ya ile picha niliyotuma kwenye group.Nilichati nae vizuri kwa kujifananisha kuwa mimi demu mpaka jamaa akafikia hatua ya kuvunja ukimya juu ya ile picha nikawa nimemkubalia jamaa.Sasa jamaa amenituma nauli nimfate aliko maana yupo mkoa tafauti na nilipo mimi na nauli yake si chini ya elfu 80000 na jamaa kanitumia laki moja(100000)na hali niliyonayo Mimi huku si nzuri kwa kweli kiuchumi.Sasa napenda mnishauri kuwa jamaa nimwambie ukweli kuhusu jinsi yangu??au niitumie tu hii hela kwa mambo yangu binafsi???au nimurudishie tu hii hela????.Wapendwa ushauri wenu tafadhali.
Una ushoga fulani hivi
 
T 1990 ELY

Una matatizo, aidha ya akili au kisaikolojia Kwasababu.;

1. Utakubali vipi kuingizwa katika 'chat' groups usizozijua then uendele ku_entertain? Groups zina title, madhumuni fulani mf. Enterpreneurs, Classmates, Family, Coworkers " etc Group hilo baada ya wewe "kupimishia chatting zao" lilikuwa linahusu nini? Kama uliona halijuhusu kwanini uliendelea kuendelea?

2. Kwanini utume picha ya mwanamke? Let me rephrase, Kwanini utume picha ya nwanamke "mzuri"? Lengo lilikuwa nini? Ulitegemea nini baada ya kutuma?

3. Huyo "jamaa" uliyechat nae, "ulimkubalia" nini? Kwanini ulimkubalia?

4. Mlishawahi kuongea kwa simu(sauti) na huyo 'jamaa wako', kama ndiyo si anajua wewe ni mwanaume? Kama siyo na pengine ulimpa mtu uongee naye(huyo mtu alientertain huo ujinga)?


Kwa hiyo ukimwambia jinsia yako hutatuma hiyo fedha? Maana kama ukimwambia au usipomwambia utaituma then ushauri wa nini?

At times, you just have to go with the flow! Either umeshazoea hiyo tabia(kutapeli, kujifananisha na mwanamke n.k) na unakuja kutaka public support ili kichwani kwako au ni kijana ambaye umekuwa "ukiwakubalia" wenzako kwa muda mrefu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom