Nimedanganya jinsia yangu

Nimedanganya jinsia yangu

Mwanzo mzuri huo endelea tu anza kununua na ky uwe unatembea nayo
 
Kwa hiyo unatangaza biashara yako kiaina hapa jukwaan watu wajue huwa unatoa mlango wa kuzimu au??
 
Fanya kama unambrock assap atakutafuta mpaka atachoka.
ila acha tabia za kike utafi**a
 
Hapana mkuu nilikuwa namwonyeshea dalili zote kabisa kuwa Mimi mwanaume so jamaa hata hakusitukia aiseeeeee.Ivi kweli utashindwa kujua or kuhisi tu kuwa unachati na mwanaume mwenzio hata kwa mwandiko?????Dah sisi mwanaume bhana huwa tunatapeliwa kizembe kweli.

jamani ubahili ni kitu kibaya zaidi ya 95% wanaume wa jf wabahili sana kupiga sim ebu yamkute unakuta lijitu linachaaaaaaaaaaati mpaka mwaka unaisha hajawai kupiga sim hiv huu si usenge???? Mwanaume jiamin babu ukipewa no ya mdada mpandie hewani hata usikie sauti yake. Jaman wan gf spend wanaume wa kuchart basi tuu mi sms mirefuuu kama barabara ishiiiiiii
 
Weka hiyo picha uliyotuma nasi tuione mkuuu......
 
jamani ubahili ni kitu kibaya zaidi ya 95% wanaume wa jf wabahili sana kupiga sim ebu yamkute unakuta lijitu linachaaaaaaaaaaati mpaka mwaka unaisha hajawai kupiga sim hiv huu si usenge???? Mwanaume jiamin babu ukipewa no ya mdada mpandie hewani hata usikie sauti yake. Jaman wan gf spend wanaume wa kuchart basi tuu mi sms mirefuuu kama barabara ishiiiiiii

Mi nakuangalia tu....
 
Hapana mkuu nilikuwa namwonyeshea dalili zote kabisa kuwa Mimi mwanaume so jamaa hata hakusitukia aiseeeeee.Ivi kweli utashindwa kujua or kuhisi tu kuwa unachati na mwanaume mwenzio hata kwa mwandiko?????Dah sisi mwanaume bhana huwa tunatapeliwa kizembe kweli.

Hii kali,mwandiko mpaka mtandaoni?
 
ulivokuwa na njaa kweli utairudisha??? Kwa ishauri ili uoneshe kuwa wewe ni mwanaume wa ukweli embu mrudishie na mungu apate pa kuanza kukusaidia

Natafuta pesa halafu nirudishe pesa? ? au ngoja nifanye kama ulivyonishauri maana mmmmmmm
 
jamani ubahili ni kitu kibaya zaidi ya 95% wanaume wa jf wabahili sana kupiga sim ebu yamkute unakuta lijitu linachaaaaaaaaaaati mpaka mwaka unaisha hajawai kupiga sim hiv huu si usenge???? Mwanaume jiamin babu ukipewa no ya mdada mpandie hewani hata usikie sauti yake. Jaman wan gf spend wanaume wa kuchart basi tuu mi sms mirefuuu kama barabara ishiiiiiii
kama yalishaga kuthibu vile mpendwa au umetorea mfano tu luckyline
 
Back
Top Bottom