Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

Viongozi, siasa na dini zisitugawe.
Haya yanahitaji matendo siyo maneno matupu kama unavyodhania. Watawala wetu wapumbavu ndiyo wanasababisha hii hali. Ndiyo hasara ya kuwapa uongozi watu wenye upeo mdogo wa kuchambua mambo.
 
Msongamano wa hao ccm kwenye hiace ingekuwa ndo wapinzani hapo kwa askari wa barabarani wangejifanya wako firm kwenye sheria,chuki zinatengenezwa na mengi.RIP wote waliopoteza maisha katika mazingira/hali ya kutojitambua ila nasita kwa wale machawa ambao ni vinyonga kisa maslahi.
 
Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.

Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.

Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.

Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.

Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.

Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Uzuri hakuna mtu aliye wakusanya na kuwaambia haya sasa tushangilie , bali ni kila mmoja huko aliko akajikuta anashangilia kwa hiyo kwa sura hiyo hayo ndiyo mawazo ya walio wengi dhidi ya CCM kuna la kujitafakari
 
Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.

Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.

Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.

Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.

Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.

Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Si vzr watu kushangilia binadamu wenzetu wanapotutoka hapa duniani.Tatizo ninaloliona na lisipofanyiwa kazi nchi inaenda kumeguka vipande vipande.vijana wengi wamemaliza vyuo mbali mbali na wamekosa ajira sababu ya sera mbovu ya chama kilichopo madarakani.viongozi wanapeana nafasi kwa kufuata historia za wazazi wao bila kuangalia weredi wao.hali hiyo imewafanya vijana kuona kuwa wanatengwa na mifumo iliyopo kiasi cha kutengeneza chui baina yao.kama hilo halitarekebishwa basi ni hatari kubwa huko mbeleni kwani idadi ya machawa ni kubwa na ndo hupewa nyazifa sababu tu ya uchawa wao.
 
Pole sana kwa wafiwa na Mungu azilaze roho za Marehemu pahala pema peponi! Amina.
 
Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.

Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.

Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.

Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.

Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.

Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Mlaumu Tulia alivyoigiza jeneza la CHADEMA
 
Kushangilia kifo ni ujinga maana sio vizuri kabisa ila kama walikuwa wanawanyanyasa nakuwatesa ofcourse wao watafurahia
 
Back
Top Bottom