johappy
Member
- Jun 18, 2017
- 79
- 56
- Thread starter
- #81
Hahaha mkuu nimemjibu kitaalam ili aingie ktk tulichowaza,
Subir uone jibu atakalo toa halafu ufananishe ndo utajua nimemweka mtego,
Huyu nimuogope kwa lipi sasa,
Anaepewa 20k nimuogope acha utan comred
Loooh aiseee uelewa ni mdogo sana mm nipewe 20k !! sikatai naeza pewa .....ww Huezi kusanya data kabisa hiyo pesa alikuwa anatumiwa huyo alieambiwa usinipigie niko semina duuh kazi kwelikweli wadau