Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Hapana Dada yangu nakushauri sana na ninaomba unisikikize
Mnampango wowote hule wakuja kuishi pamoja
Nhumbani kwenu wanamfahamu huyo
Naomba kaa nae chini mwambie vitu vya umuhimu sana atakuelewa.kumbuka toka kwangu Mwanaume mkamikifu ni mtoto mdogo wakiume anayelala na wewe kitandani amabaye umemzaa.akishakupata akili sio tena Mwaminifu
Tembea na usemi huu daima katika maisha yako.
Wanaume wote ni Mbwa au fisi,
Maana yake sisi sote wanaume tunaa tamaa kubwa sana
Wewe hujawai kuwaona wanaume wanatoka na wanawake ambao ukiwalinganisha na wake zao unashangaa unasema huyu Baba amekosa nini kwa mke wake
Pole sana sana,,
Midumare si kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume kuwa na tamaa na kuweza kuzidhibiti tamaa zake.
Wengibhawawezi kuzidhibiti, lakini wako wachache wenye uwezo huo.

Si wanaume wote ni wapumbav kiasi hiko. Wanaojiheshim wapo
 
Huyo jamaaa kiazi saana.

Ila nimemwombea msamaha. Please msamehe huyo bwana.

Sema ujichunguze nawewe usije ukawa ndio chanzo cha yeye kuruka ruka.
 
Matukio yote ya kutokua mwaminifu Mungu kamfichua kakuonyesha.unataka nini m wanaume si huyo peke yake atakupa atakaye kuthamin na kukuheshimu kubwa kukupenda..mi naona hapo Dada muage tu,habadiriki huyo ni muhuni mzoefu
 
Ameanza propaganda za kuomba msamaha ndo muda wa kuvuna fweza huu best

Msamehe ila punguza upendo wako kwake maana kuna uwezekano akarudia wanaume ni sare sare maua huyo amenifurahisha tu na aina yake ya kuomba msamaha
 
Hahahahahaahaa,....sicheki kuwa ni mazuri ila vinachekesha aseee mwanaume muongo muongo bwana hanogi wala nn,tena ukimbamba afu akawa hana point ya maana huwa nacheka saaaana kwanza,...pole shost "jomoniii" kama unahisi ana kijiupendo kiduchu hebu mvumilie kidooooogo kidogo sana yaani kidogo kweli kweli,ili uone kama ni MTU wa kukubali kosa na kubadilika....ila ukiona moyo hauna furaha rudi chamani tuu au sio,??!teh teh

Narudi soon
 
Natumai muwazima wa afya ,niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye alionyesha kunipenda na kunijali ,nilimwamini sana ila cha kushangaza kunasiku ametoka kwangu tukaagana vyema kua anaenda nyumbani .Baada ya muda nampigia cm nijue kama amefika salama ,haipokelewi nikajisemea atakua yuko bafuni .Mara muda cm yangu inaita kupokea cm imejipiga yuko na mwanamke wanasifiana vibaya mno kwa mambo waliyokwisha kuyafanya .wanaagiza vinywaji nikasikiliza baadae nikaona upuuzi nikakata cm ,nikapiga hajapokea ndani ya dakika tatu akapiga .Anadai nilikua bafuni nikamwambia sawa bafu lako wanapiga mziki na wanauza savana na henken ,nikakata cm nikashangaaa mtu anagonga nikamfungulia kuingia anasema lov umesikia vibaya nikamwambia sawa .leo kakosea msg ya tigopesa katuma kwangu tsh 20 na txt usinipigie nipo semina ntakucheki na tuko wote mi nikamjibu sawa .Anaanza sor nilikua namtumia mshikaji ananisumbua nikamuuliza na hii elfu ishirini ya nn ananiuliza ipi.oooh nimekutumia ya vocha daaah nimechoka namwacha leoleo niendelee tu kuwa single .
Pole sana njoo kwangu
 
Huyo jamaaa kiazi saana.

Ila nimemwombea msamaha. Please msamehe huyo bwana.

Sema ujichunguze nawewe usije ukawa ndio chanzo cha yeye kuruka ruka.

Nitajichunguza nikiwamwenyewe bora hata hao michepuko wawe wa maana naona huyu ajui anachokitaka mkuu
 
Kumbe uliwahi kutumiwa, ngoja nae atumike kidogo mwende sawa!
 
Midumare si kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume kuwa na tamaa na kuweza kuzidhibiti tamaa zake.
Wengibhawawezi kuzidhibiti, lakini wako wachache wenye uwezo huo.

Si wanaume wote ni wapumbav kiasi hiko. Wanaojiheshim wapo
Shida inakujaga mwanaume ukitulia lazma upate dem mbovu
 
Back
Top Bottom