Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Huezi kukusanya vichwa vya habari ukapata jibu la swali lako? Kingine we ni kiranja wa jmf??
Maswali ya kitoto kabisa... umekuja kuomba msaada wa mawazo hapa lazima tupitie historia ya michango yako.

Shukuru situkani mitandaoni. Mmezidi kutuletea story za kutunga otherwise hii ID mnaitumia ukoo mzima kila mmoja anapost story yake.
 
Pole sana kwa changamoto za mahusiano, Fanya uchaguzi kwanza kabla ya kuchukua maamuz ya kuachana Na huyu mtu wako, uctumie hasira, hasira hasara utaachana Na wangapi?
Uchunguzi gani unaitajika hapo na swala liko wazi kabisa...!?
 
aseeh ana jeuri kinoma... vimekuwa viongo viongo leo mtu kaolewa kesho kaoa kesho kutwa hana kazi weekend amefumaniwa jtano katongoza waziri

basi vinatuchanganya tu.
Haaaaa haaaaa

Na ndio maana huwa nasisitiza stori za humu nyingi chai!

Si huyo kaishakamatwa na uwongo wake?!!![emoji15] [emoji15]
 
Natumai muwazima wa afya ,niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye alionyesha kunipenda na kunijali ,nilimwamini sana ila cha kushangaza kunasiku ametoka kwangu tukaagana vyema kua anaenda nyumbani .Baada ya muda nampigia cm nijue kama amefika salama ,haipokelewi nikajisemea atakua yuko bafuni .Mara muda cm yangu inaita kupokea cm imejipiga yuko na mwanamke wanasifiana vibaya mno kwa mambo waliyokwisha kuyafanya .wanaagiza vinywaji nikasikiliza baadae nikaona upuuzi nikakata cm ,nikapiga hajapokea ndani ya dakika tatu akapiga .Anadai nilikua bafuni nikamwambia sawa bafu lako wanapiga mziki na wanauza savana na henken ,nikakata cm nikashangaaa mtu anagonga nikamfungulia kuingia anasema lov umesikia vibaya nikamwambia sawa .leo kakosea msg ya tigopesa katuma kwangu tsh 20 na txt usinipigie nipo semina ntakucheki na tuko wote mi nikamjibu sawa .Anaanza sor nilikua namtumia mshikaji ananisumbua nikamuuliza na hii elfu ishirini ya nn ananiuliza ipi.oooh nimekutumia ya vocha daaah nimechoka namwacha leoleo niendelee tu kuwa single .
Namba yangu ile ile ya tG0 ukimalza kuachana nae
 
Maswali ya kitoto kabisa... umekuja kuomba msaada wa mawazo hapa lazima tupitie historia ya michango yako.

Shukuru situkani mitandaoni. Mmezidi kutuletea story za kutunga otherwise hii ID mnaitumia ukoo mzima kila mmoja anapost story yake.

Haaahaaa sijui ni stress au nn mkuu Sio lazima kucomment kila kitu kingine imani yako ni hafifu sana .
 
Haaaaa haaaaa

Na ndio maana huwa nasisitiza stori za humu nyingi chai!

Si huyo kaishakamatwa na uwongo wake?!!![emoji15] [emoji15]

Uongo upi ? Kutafuta mume na kua na jamaa ambae nishaona sina imani nae tena !!punguza stress
 
Haaahaaa sijui ni stress au nn mkuu Sio lazima kucomment kila kitu kingine imani yako ni hafifu sana .
Wewe ni mwongo ni mzushi mzushi.

Juzi umetafuta mpenzi ukampata akakusaliti siku hiyo hiyo. Endelea kuwadanganya mbumbumbu wenzio.

Sio lazima nicomment ungetaja waongo wenzako kwenye uzi wako kabla ya kupost kwenye hii jamii yote. Wewe ni mwongo na mzushi.
 
Siku tatu zilizopita,

Mume wa kufunga ndoa awe na mtoto mmoja

Wanawake banah[emoji23]
 
Uongo upi ? Kutafuta mume na kua na jamaa ambae nishaona sina imani nae tena !!punguza stress
sasa hapa unaomba ushauri wa nini?

uweke uzi wa kutafuta mpenzi halafu kesho yake uweke wa kuomba ushauri wa uliyekuwa naye kabla ya kutafuta?

Ndiyo maana Watu8 anasema sio kila mmoja amezaliwa wengine wamejammbwa.
 
Natumai muwazima wa afya ,niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye alionyesha kunipenda na kunijali ,nilimwamini sana ila cha kushangaza kunasiku ametoka kwangu tukaagana vyema kua anaenda nyumbani .Baada ya muda nampigia cm nijue kama amefika salama ,haipokelewi nikajisemea atakua yuko bafuni .Mara muda cm yangu inaita kupokea cm imejipiga yuko na mwanamke wanasifiana vibaya mno kwa mambo waliyokwisha kuyafanya .wanaagiza vinywaji nikasikiliza baadae nikaona upuuzi nikakata cm ,nikapiga hajapokea ndani ya dakika tatu akapiga .Anadai nilikua bafuni nikamwambia sawa bafu lako wanapiga mziki na wanauza savana na henken ,nikakata cm nikashangaaa mtu anagonga nikamfungulia kuingia anasema lov umesikia vibaya nikamwambia sawa .leo kakosea msg ya tigopesa katuma kwangu tsh 20 na txt usinipigie nipo semina ntakucheki na tuko wote mi nikamjibu sawa .Anaanza sor nilikua namtumia mshikaji ananisumbua nikamuuliza na hii elfu ishirini ya nn ananiuliza ipi.oooh nimekutumia ya vocha daaah nimechoka namwacha leoleo niendelee tu kuwa single .
Achana na vikaka, njoo pm kwa babu akulee na injini ya mashini ya babu bado ina uwezo wa kwenda mizunguko mitatu kwa usiku mmoja!!!!
 
Hahahaha yaani wewe ndio timu Baira na Gudume, ongereni kwa kuleta mapinduzi ya stories MMU
 
Back
Top Bottom