Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Stress unazo wewe unayeleta mada za kizushi zushi!

Kuolewa wewe, kutafuta bwana wewe, kumwagwa wewe, hata hujielewi!

Mwanamke kuwa muongo muongo hupendezi ewww!

Hahhahahah siku zote huwa nawaambia mwanamke akiwa mwongo wala haipendezi kwa kweli,heri hata na ww umeliona,mm nikidanganywa na mwanamke huwa naumia sana kuliko mwanaume
 
Hapana Dada yangu nakushauri sana na ninaomba unisikikize
Mnampango wowote hule wakuja kuishi pamoja
Nhumbani kwenu wanamfahamu huyo
Naomba kaa nae chini mwambie vitu vya umuhimu sana atakuelewa.kumbuka toka kwangu Mwanaume mkamikifu ni mtoto mdogo wakiume anayelala na wewe kitandani amabaye umemzaa.akishakupata akili sio tena Mwaminifu
Tembea na usemi huu daima katika maisha yako.
Wanaume wote ni Mbwa au fisi,
Maana yake sisi sote wanaume tunaa tamaa kubwa sana
Wewe hujawai kuwaona wanaume wanatoka na wanawake ambao ukiwalinganisha na wake zao unashangaa unasema huyu Baba amekosa nini kwa mke wake
Pole sana sana,,
Wewe ndio jibwa letu na wewe ndio lifisi letu. Usitutukane aiseee
 
Hahahahahaahaa,....sicheki kuwa ni mazuri ila vinachekesha aseee mwanaume muongo muongo bwana hanogi wala nn,tena ukimbamba afu akawa hana point ya maana huwa nacheka saaaana kwanza,...pole shost "jomoniii" kama unahisi ana kijiupendo kiduchu hebu mvumilie kidooooogo kidogo sana yaani kidogo kweli kweli,ili uone kama ni MTU wa kukubali kosa na kubadilika....ila ukiona moyo hauna furaha rudi chamani tuu au sio,??!teh teh
Hahaha yaan acha kbs, mara mia kuwa na mwanaume mwenye michepuko ila si muongo. Ukiwa na mwanaume muongo mbona ni balaa.
 
Natumai muwazima wa afya ,niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye alionyesha kunipenda na kunijali ,nilimwamini sana ila cha kushangaza kunasiku ametoka kwangu tukaagana vyema kua anaenda nyumbani .Baada ya muda nampigia cm nijue kama amefika salama ,haipokelewi nikajisemea atakua yuko bafuni .Mara muda cm yangu inaita kupokea cm imejipiga yuko na mwanamke wanasifiana vibaya mno kwa mambo waliyokwisha kuyafanya .wanaagiza vinywaji nikasikiliza baadae nikaona upuuzi nikakata cm ,nikapiga hajapokea ndani ya dakika tatu akapiga .Anadai nilikua bafuni nikamwambia sawa bafu lako wanapiga mziki na wanauza savana na henken ,nikakata cm nikashangaaa mtu anagonga nikamfungulia kuingia anasema lov umesikia vibaya nikamwambia sawa .leo kakosea msg ya tigopesa katuma kwangu tsh 20 na txt usinipigie nipo semina ntakucheki na tuko wote mi nikamjibu sawa .Anaanza sor nilikua namtumia mshikaji ananisumbua nikamuuliza na hii elfu ishirini ya nn ananiuliza ipi.oooh nimekutumia ya vocha daaah nimechoka namwacha leoleo niendelee tu kuwa single .
Nimecheka mbavu sina dah! Natumai hata wewe uliugulia kwa kicheko na maumivu kidogo. Pole lakini
 
Hapana Dada yangu nakushauri sana na ninaomba unisikikize
Mnampango wowote hule wakuja kuishi pamoja
Nhumbani kwenu wanamfahamu huyo
Naomba kaa nae chini mwambie vitu vya umuhimu sana atakuelewa.kumbuka toka kwangu Mwanaume mkamikifu ni mtoto mdogo wakiume anayelala na wewe kitandani amabaye umemzaa.akishakupata akili sio tena Mwaminifu
Tembea na usemi huu daima katika maisha yako.
Wanaume wote ni Mbwa au fisi,
Maana yake sisi sote wanaume tunaa tamaa kubwa sana
Wewe hujawai kuwaona wanaume wanatoka na wanawake ambao ukiwalinganisha na wake zao unashangaa unasema huyu Baba amekosa nini kwa mke wake
Pole sana sana,,
Umekosea sana kutukana watu. Usimwite tena binadam mwenzako Mbwa au Fisi. Mungu alituumba maumbile mazuri hivyo huwezi kutufananisha na hao wanyama wako. Au ujitukane mwenyewe sawa!
 
Natumai muwazima wa afya ,niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye alionyesha kunipenda na kunijali ,nilimwamini sana ila cha kushangaza kunasiku ametoka kwangu tukaagana vyema kua anaenda nyumbani .Baada ya muda nampigia cm nijue kama amefika salama ,haipokelewi nikajisemea atakua yuko bafuni .Mara muda cm yangu inaita kupokea cm imejipiga yuko na mwanamke wanasifiana vibaya mno kwa mambo waliyokwisha kuyafanya .wanaagiza vinywaji nikasikiliza baadae nikaona upuuzi nikakata cm ,nikapiga hajapokea ndani ya dakika tatu akapiga .Anadai nilikua bafuni nikamwambia sawa bafu lako wanapiga mziki na wanauza savana na henken ,nikakata cm nikashangaaa mtu anagonga nikamfungulia kuingia anasema lov umesikia vibaya nikamwambia sawa .leo kakosea msg ya tigopesa katuma kwangu tsh 20 na txt usinipigie nipo semina ntakucheki na tuko wote mi nikamjibu sawa .Anaanza sor nilikua namtumia mshikaji ananisumbua nikamuuliza na hii elfu ishirini ya nn ananiuliza ipi.oooh nimekutumia ya vocha daaah nimechoka namwacha leoleo niendelee tu kuwa single .
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sio kwamba umemuacha kwa mda baadae muwe pamoja? Huyu mpenzi wako kajanja sana
 
Hahhahahah siku zote huwa nawaambia mwanamke akiwa mwongo wala haipendezi kwa kweli,heri hata na ww umeliona,mm nikidanganywa na mwanamke huwa naumia sana kuliko mwanaume

Endelea kuumia na imani yako hafifu
 
Back
Top Bottom