Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

aymatu wapo wanawake wanaojielewa... sasa huyu eti juzi alitafuta bwana. Kumbe kuna bwana lingine hakuachana nalo amekuja kuliombea ushauri leo.

Halafu analetewa mada zake analeta jeuri.
Mkuu ndo maana nmefurah tu
Maana angekuwa karibu angekula bonge ka konzi,

Kuna watu mtaani wanalia hawaolewi,yeye kaolewa pengine jamaa anajisifia amepata mke bora kumbe upuuzi tu yaan huyu basi tu.
 
aymatu wapo wanawake wanaojielewa... sasa huyu eti juzi alitafuta bwana. Kumbe kuna bwana lingine hakuachana nalo amekuja kuliombea ushauri leo.

Halafu analetewa mada zake analeta jeuri.

Haaa aiseee umenishikia bango sana ,Kusanya dot mkuu unaonekana una jazba.
 
Stress unazo wewe unayeleta mada za kizushi zushi!

Kuolewa wewe, kutafuta bwana wewe, kumwagwa wewe, hata hujielewi!

Mwanamke kuwa muongo muongo hupendezi ewww!

Haaahaaa shida ushazoea kudanganywa‍♀️
 
Natumai muwazima wa afya ,niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye alionyesha kunipenda na kunijali ,nilimwamini sana ila cha kushangaza kunasiku ametoka kwangu tukaagana vyema kua anaenda nyumbani .Baada ya muda nampigia cm nijue kama amefika salama ,haipokelewi nikajisemea atakua yuko bafuni .Mara muda cm yangu inaita kupokea cm imejipiga yuko na mwanamke wanasifiana vibaya mno kwa mambo waliyokwisha kuyafanya .wanaagiza vinywaji nikasikiliza baadae nikaona upuuzi nikakata cm ,nikapiga hajapokea ndani ya dakika tatu akapiga .Anadai nilikua bafuni nikamwambia sawa bafu lako wanapiga mziki na wanauza savana na henken ,nikakata cm nikashangaaa mtu anagonga nikamfungulia kuingia anasema lov umesikia vibaya nikamwambia sawa .leo kakosea msg ya tigopesa katuma kwangu tsh 20 na txt usinipigie nipo semina ntakucheki na tuko wote mi nikamjibu sawa .Anaanza sor nilikua namtumia mshikaji ananisumbua nikamuuliza na hii elfu ishirini ya nn ananiuliza ipi.oooh nimekutumia ya vocha daaah nimechoka namwacha leoleo niendelee tu kuwa single .
Wanawake huwa mna inatatizo sana,huoni kwamba mshkaji kakolea kwako na atakuwaza muda wote? Kuna vitu unavikosea nda anavitafuta kwngne.Muulize mrekebishane na mtakuwa na fursa.Acha kukurupuka.
 
sasa hapa unaomba ushauri wa nini?

uweke uzi wa kutafuta mpenzi halafu kesho yake uweke wa kuomba ushauri wa uliyekuwa naye kabla ya kutafuta?

Ndiyo maana Watu8 anasema sio kila mmoja amezaliwa wengine wamejammbwa.

Kama ww unaonekana umejabwa sio siri
 
Ulimpata kupitia hapa?
 

Attachments

  • Screenshot_20171216-094656.png
    Screenshot_20171216-094656.png
    34.9 KB · Views: 43
Wewe ni mwongo ni mzushi mzushi.

Juzi umetafuta mpenzi ukampata akakusaliti siku hiyo hiyo. Endelea kuwadanganya mbumbumbu wenzio.

Sio lazima nicomment ungetaja waongo wenzako kwenye uzi wako kabla ya kupost kwenye hii jamii yote. Wewe ni mwongo na mzushi.

Looh! Kunywa maji kidogo mkuu utapaliwa na imani yako ni hafifu sana .sikunyingine ukiona jambo unahisi ni uzushi basi pita tuu mkuu ,na unapopinga hoja za mtu na kumwita mzushi bila kujua undani na ww unakuwa mzushi kama kuniita mwongo huo ni uzushi mkuu .
 
Kusanya dot mbaka naanza hayo alishaanza nikatisha tamaaa ,jana ndio kanimaliza kabisaa wakuu muwe mnatulia mnaposoma sio kuita watu waongo haipendezi.
Ebu relax mpendwa wap nimesema kuwa umesema uongo?
 
Ko
Matukio yote ya kutokua mwaminifu Mungu kamfichua kakuonyesha.unataka nini m wanaume si huyo peke yake atakupa atakaye kuthamin na kukuheshimu kubwa kukupenda..mi naona hapo Dada muage tu,habadiriki huyo ni muhuni mzoefu
Kosa la jamaa ni kukamatwa, kwahiyo unataka aende Kwa mjanja asiekamatika ili adanganywe vizuri!? Haya ninachoamini mm ni kumwambia ukweli aache au apunguze na mvumiliane tu
 
Hahaha mkuu nimemjibu kitaalam ili aingie ktk tulichowaza,
Subir uone jibu atakalo toa halafu ufananishe ndo utajua nimemweka mtego,

Huyu nimuogope kwa lipi sasa,
Anaepewa 20k nimuogope acha utan comred
Haka ni kaongo comrade wala usikaogope.... kaongo
 
Chai zikizidi ni jambo Jema kabisa kumbananisha mleta chai ili walau kupunguza akina Beira humu jf..mwishowe tutakua tunachangia stories za kina shigongo za kutunga!
 
Back
Top Bottom