Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Natumai muwazima wa afya ,niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye alionyesha kunipenda na kunijali ,nilimwamini sana ila cha kushangaza kunasiku ametoka kwangu tukaagana vyema kua anaenda nyumbani .Baada ya muda nampigia cm nijue kama amefika salama ,haipokelewi nikajisemea atakua yuko bafuni .Mara muda cm yangu inaita kupokea cm imejipiga yuko na mwanamke wanasifiana vibaya mno kwa mambo waliyokwisha kuyafanya .wanaagiza vinywaji nikasikiliza baadae nikaona upuuzi nikakata cm ,nikapiga hajapokea ndani ya dakika tatu akapiga .Anadai nilikua bafuni nikamwambia sawa bafu lako wanapiga mziki na wanauza savana na henken ,nikakata cm nikashangaaa mtu anagonga nikamfungulia kuingia anasema lov umesikia vibaya nikamwambia sawa .leo kakosea msg ya tigopesa katuma kwangu tsh 20 na txt usinipigie nipo semina ntakucheki na tuko wote mi nikamjibu sawa .Anaanza sor nilikua namtumia mshikaji ananisumbua nikamuuliza na hii elfu ishirini ya nn ananiuliza ipi.oooh nimekutumia ya vocha daaah nimechoka namwacha leoleo niendelee tu kuwa single .
Pole, Mkuu hayo ndo mpenzi ya siku hizi ukiona anakujali ujiulize tuko wa ngapi sasa, kuwa single sio mwisho wa mchezo tafuta furaha yako ilipo, usikubali kuumuzwa na mtu anaekula raha maisha haya mafupi sana Mkuu
 
Ameanza propaganda za kuomba msamaha ndo muda wa kuvuna fweza huu best

Msamehe ila punguza upendo wako kwake maana kuna uwezekano akarudia wanaume ni sare sare maua huyo amenifurahisha tu na aina yake ya kuomba msamaha
Wacha weeeeh
 
Pole, Mkuu hayo ndo mpenzi ya siku hizi ukiona anakujali ujiulize tuko wa ngapi sasa, kuwa single sio mwisho wa mchezo tafuta furaha yako ilipo, usikubali kuumuzwa na mtu anaekula raha maisha haya mafupi sana Mkuu

Umenena vyema
 
Ushazoea vifurushi vyako vya chuo ,unavyofikiri ww kazi yako ya kushinda na cm sitingroom kwa mama yako basi umekalili maisha.
Yaan we trash!..…maskini nakuonea huruma, hata kuandika Swahili sanifu huwezi[emoji23] [emoji23] what the heck!!!...simple ur cheap muuza...malyaya mchafyuuu! Can u imagine?????
 
SISI WNAUME NDO TUKO HIVO TUNA MBEGU NYINGI HIVO UKIMUACHA UNAKOENDA SI KWAMBA NDO HATACHEAT AU LA STYLE TOFAUTI...ILA ANGALIA KWANZA KAMA KUNA NAFASI MNA FUTURE NA ANAREKEBISHIKA VUMILIA,....BUT SITANII SIO KWAMBA UNATAKA KUCHEPUKA....KAMA SIPO ROMANTIC LABDA SITACHEPUKA EANING KWAKO NA WENGINE..MI NAWAZA KAZI MASAA 24....ILA KAMA NIMETWIST NADEAL NA MANJONJO PIA KUKURUDHISHA AUTOMATICALY NTACHEAT COZ HATA NSIPOTONGOZA BADO KUNA FURSANYINGI ZINAKUJA....

ALL MAN ARE WEAK TO WOMEN
 
Naona leo umeamua
 
Yaan we trash!..…maskini nakuonea huruma, hata kuandika Swahili sanifu huwezi[emoji23] [emoji23] what the heck!!!...simple ur cheap sex lobour hoe!...malyaya mchafyuuu! Can u imagine?????

Witsness unanifurahisha mno maji umekunywa lakini ??hizo ndio shida za kusoma QT nakuishi uswahilini Pambana na Maisha yako bibie kama unahasira kunywa sumu ufe halafu hio mitusi mtukane alokuzaa [emoji12][emoji12]povu povuni karibu tena....!! Alotuloga wanawake sijui nani jamani hapo unijui ungenijua ‍♀️‍♀️‍♀️ punguza stress bibie utakufa mapema .
 
Bibie calm down plz...!
Mbona mnaanzisha vita ya maneno au mnajuana ninyi ndio maana!??
Haiwezekani hii thread ndio ilete maneno yote haya wakati ni sehemu ya kujua changamoto za kimahusiano tunazokumbana nazo kila siku, sidhani kama kuna haja ya kuendelea majibizano just leave her and I hope she will do the same.
Sioni haja ya mzozo/majibizano yasiyo na tija kwenu.
 
Uko sahihi kabisaaaa.
 
Natumai muwazima wa afya ,niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye alionyesha kunipenda na kunijali ,nilimwamini sana ila cha kushangaza kunasiku ametoka kwangu tukaagana vyema kua anaenda nyumbani .Baada ya muda nampigia cm nijue kama amefika salama ,haipokelewi nikajisemea atakua yuko bafuni .Mara muda cm yangu inaita kupokea cm imejipiga yuko na mwanamke wanasifiana vibaya mno kwa mambo waliyokwisha kuyafanya .wanaagiza vinywaji nikasikiliza baadae nikaona upuuzi nikakata cm ,nikapiga hajapokea ndani ya dakika tatu akapiga .Anadai nilikua bafuni nikamwambia sawa bafu lako wanapiga mziki na wanauza savana na henken ,nikakata cm nikashangaaa mtu anagonga nikamfungulia kuingia anasema lov umesikia vibaya nikamwambia sawa .leo kakosea msg ya tigopesa katuma kwangu tsh 20 na txt usinipigie nipo semina ntakucheki na tuko wote mi nikamjibu sawa .Anaanza sor nilikua namtumia mshikaji ananisumbua nikamuuliza na hii elfu ishirini ya nn ananiuliza ipi.oooh nimekutumia ya vocha daaah nimechoka namwacha leoleo niendelee tu kuwa single .
Rudi chamani, asije akukuletea maradhi yasiyo na tiba
 
Kumiliki mwanaume mwenye tabia za kupenda mademu....au mlevi ni changamoto kubwa yaani hata iweje awawez kubadilika.Ukijilipua ukaolewa naye jiandae maumivu ndani ya moyo.Nawashangaaga wanaosema wanaweza kuwabadili tabia.Aisee kama huwezi ni bora mwanzoni ukajitoa.Tabia ni kama ngoz haiwez kubadilika.
 
Tena hakuna msalaba mzito km huo. Tabia ni km ngozi ni ngumu sana kumbadili mtu.
 
Back
Top Bottom