Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Nimechoshwa na tabia zake huyu kaka

Hapana Dada yangu nakushauri sana na ninaomba unisikikize
Mnampango wowote hule wakuja kuishi pamoja
Nhumbani kwenu wanamfahamu huyo
Naomba kaa nae chini mwambie vitu vya umuhimu sana atakuelewa.kumbuka toka kwangu Mwanaume mkamikifu ni mtoto mdogo wakiume anayelala na wewe kitandani amabaye umemzaa.akishakupata akili sio tena Mwaminifu
Tembea na usemi huu daima katika maisha yako.
Wanaume wote ni Mbwa au fisi,
Maana yake sisi sote wanaume tunaa tamaa kubwa sana
Wewe hujawai kuwaona wanaume wanatoka na wanawake ambao ukiwalinganisha na wake zao unashangaa unasema huyu Baba amekosa nini kwa mke wake
Pole sana sana,,
Kwa hiyo na babako ni mbwa au fisi?
 
vp ulisha wahi kuzungumza nae kuhusiana na hilo tatzo?Nafikir ni kabla ya kuchukua maamuz yeyote yale omba kuongea nae face to face then utagundua kitu kilichopo kat yenu.Jarbu kumueleza jinsi tabia yake inavyoanza badilika cku had cku,majbu yake yasio ridhika kwako then mpe nafasi ya kujielezea ili ugundue tatzo lake ni nini kwako.
Naamin kwa kufanya hyo mtakubaliana na mtaendelea na maisha.pole sana

Nimekusoma mkuu ntafanyia kazi.
 
Hapana Dada yangu nakushauri sana na ninaomba unisikikize
Mnampango wowote hule wakuja kuishi pamoja
Nhumbani kwenu wanamfahamu huyo
Naomba kaa nae chini mwambie vitu vya umuhimu sana atakuelewa.kumbuka toka kwangu Mwanaume mkamikifu ni mtoto mdogo wakiume anayelala na wewe kitandani amabaye umemzaa.akishakupata akili sio tena Mwaminifu
Tembea na usemi huu daima katika maisha yako.
Wanaume wote ni Mbwa au fisi,
Maana yake sisi sote wanaume tunaa tamaa kubwa sana
Wewe hujawai kuwaona wanaume wanatoka na wanawake ambao ukiwalinganisha na wake zao unashangaa unasema huyu Baba amekosa nini kwa mke wake
Pole sana sana,,
LA KUVUNDA HALINA UBANI
 
Pole mamy,
hizo ni changamoto za mapenzi. Ni vyema kama utaachana nae basi utulize kwanza kichwa usikurupuke kuanzisha mahusiano mengine
 
Usifanye maamuzi yyte ukiwa na hasira, subir hasira zitulie ndo uamua mkuu, maamuzi ya hasira always huwa yanamajuto mwishon
 
Hakosei huyo ila anataka wewe ndio uvunje uhusiano anakupa sababu
 
Mod mbona nimemjibu laziz wangu johappy lakini mmefuta post yangu? Tabia ya kifedhuli kabisa hii!!!! Haikubaliki.
Johappy njoo PM. Nimesamehe yote yaliyotokea, na nimekusamehe . Nashangaa umekuja kunisema huku!!![emoji15][emoji15]
Njoo PM tuyajenge!!! Huko kwenye cm & Whatsapp imeni block. Utaniua kwa pressure mwenzio.
 
Haaahaa nacheka kama mazuri .
 
Bahati mbaya jamaa yako yuko speed tu,lakini wanaume wengi tunakula magoma na wake zetu wapo pasina kujua.Alichokosea huyo jamaa ni kukosa mbinu za kula vitu kimyakimya.Unamwacha huyo jamaa unauhakika atakaefuata ni salama?Dunia kijiji siku hizi angalia usije pata jamaa linalotoka 3some na ule mtandao wao wa 0713
 
Daaah dunia hii [emoji134][emoji134][emoji134]hata mtu hujui ukimbilie wapi
 
Haaahaa nacheka kama mazuri .

Usicheke Si unajua malengo tuliyonayo? Halafu ile nguo imekuacha wazi sana kifua, mimi sikupenda ila kwakuwa unaipenda basi naomba uwe unaivaa tunapokuwa outing pamoja, ila basi dp itoe mpenzi. Mbona una picha nyingi nzuri tu kuliko hata hiyo! unajua mimi nina wivu sana hasa kwako kwasababu nakupenda sana. Ila nimekubali yaishe tusonge mbele. Njoo PM my sweetheart!!! Usisikilize hawa jamaa huku JF, nisikilize mimi mpenzi.
 
Back
Top Bottom