Nimechoka sana na maisha

Nimechoka sana na maisha

Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Poleee xana kwa depression uliyonayo...... Hii dunia ya ajab sana na mungu nae ni waajab kama ilivyo dunia yake............ Kuna watu wanataman kuwa na ajira lakin ww unaona haina maana kwako...... Na mengine kama hayo..... Kifup ulichonacho huwa hukithamin had ukikose.........

Kwanza kabsa hujatueleza action uliyofanya time ago which activated the krama law in your life...... Pili inaonesha kuwa una hofu ya mungu... Bas nakusihii ujipatanishe na mungu...... Na mungu yuko wap!?... Jib ni ndani yako..... Ur spirit that Baer your mind ndio mwil wako wa kimungu hvyo ukiacha kuish kwa kutegemea mwil wako wa nje bas aman na furaha yako ya kuisha itarejea......... Amin kuwa mungu anakupenda sana na ndio mana amekupa uhai unaoukataaa sasa.........

Pia nachokisoma kwako ni kuwa furaha yako na aman yako inaeneshwa na vitu vilivyo nje ya mwili wako....... Kitu ambacho ni makosa makubwa...... Endelea kuwa karb na mungu hakika utaona Thaman ya maisha mungu aliyokupa
 
Nmesoma vizur thread yako dear poster...nlivofika kwenye kutolewa roho some sense lost. Hapo hata wewe haupo organized vile vile how comes your life be.?

Mfanyakazi panga ratiba ya mshahara anza na madeni you will breath easy brother.

Punguza matanuzi...act your wage, thank me in 2019
 
Pole mrembo jitahidi kuwa karibu na Mungu ndo mtoa Faraja na Aman katika maisha. Halaf settle down to organized maisha upya Fanya as if ndo unaanza kuishi mambo yatakua sawa. usifikirie kupoteza uhai ambao kuna watu wanaulilia
 
Tafuta Psychologist upate sessions kadhaa,hakika utakuwa poa.

(Kumbuka matatizo hayana pa kutokea isipokuwa duniani ila NEVER GIVE UP)
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Ms eve what is wrong mtoto mzuri
 
Nimeshaanza kuconnect dot.hii itakuwa ile story. Kama anaumia kwa Alichokianzia mwenyewe hii itakuwa muendelezo wa ile story ya dodoma ya kujaribu kujiua ngoja niendelee kumsoma ushirombo boy
And..... If you believe that life is always fair and designed to be only a joyful ride, think again. If you expect that life owes you something, you may be setting yourself up for massive disappointment. That’s because life can sometimes be quite unfair. It will throw curveballs at you and will confront you with obstacles that seem larger-than-life. It is also possible that you will encounter stages of life during which trials and tribulations will rain down upon you. During these difficult times, it simply takes a lot of hope and encouragement to keep going. It’s that little spark of hope that motivates you to see things through – no matter how difficult it gets. In fact, hope is possibly the most important factor when it comes to overcoming the great challenges of life. For this reason, we’ve created a huge collection of powerful help quotes. These are the brilliant quotes about hope that will help you to keep going even then the going gets tough.
 
Kuna neno hapa nafuatilia
Mkuu....
There is a saying in Tibetan, ‘Tragedy should be utilized as a source of strength.’ No matter what sort of difficulties, how painful experience is, if we lose our hope, that’s our real disaster.”
 
Wakuu mnakumbuka uzi wangu ulioleta mtafaruku kufuata Tukio la Mr Handsome ikapelekea uzi kufutwa sasa huu ndiyo sterling ameamua kujiweka wazi na as long as amongea point kuu mbili mahusiano na mshahara nimuendelezo Acha nisome nitarudi na mrejesho. Narudia mnakumbuka yule mama aliyelazwa hospital kwa attempt ya kujiua
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
 
Maombi kama hayo huwa yanajibu fasta sana, sijui kwann. Ukiomba utajiri utashanga miaka inakata tu. Lakini huyu, usikute hata mwakani asikatize
 
Mkuu usiombe mwanamke kuwa provider kwa mwanaume hasa kwa mtu aliyemuiba huyo mwanaume kwa mwanamke mwingine, na mwanaume anampelekesha huyo mwanamke kwa kugawana mshahara au ikibidi kukopa kwa hiyo imefika mahala mume anataka kurudisha majeshi kwa nyumba ya zamani kisa ameshindwa kuprovide tena
Kabla ya kuomba kufa na huko unako yaraji kwenda umejiandaaje ushajifikiria hilo
 
Huyu ni mwanamke analalamika hivi je jinsia ya kiume ipo kwenye hali gan?

TAFAKARI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom