Nimechoka sana na maisha

Nimechoka sana na maisha

Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Kwann mkuu hufurahii maisha wakati unayo smartphone yko hii unaaoma nyuzi mbalimbali na ww ukitupia yako kama hii.
Jivunie banh ata kua mwanachama wa JF Inatosha
 
Watu tunadaiwa kila kona na bado tuna dunda. Tunaishi nyumba za kupanga benki unadaiwa, hardware unadaiwa, mahitaji ya familia yanahitajika, ndugu yako anasoma chuo cha 2.7milion kwa mwaka, kodi ya nyumba ya kupanga inahitajika na kamshahara laki mbili unusu. Lakini sina mawazo ya kujiondoa duniani na wala sifikirii upuzi huo. Ukiwa na matatizo ujue wapo wenye matatizo zaidi yako
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Mungu kakuleta duniani ili ujifunze kuteseka. Na ulichomuombaa ndio amekupa. Omba utakacho, utapewa. Dont be a fool.
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Unaomba, kufa, usijali, vumilia, kifo chako kinakuja
 
Mkuu kama unajua kujiua ni kutenda dhambi ambayo itakupeleka motoni moja kwa moja (japo dhambi yoyote humpeleka mtu motoni moja kwa moja kama hajatubu), Basi fahamu kuwa hata kushindwa kutekeleza wajibu wako kimaisha ambao unasababisha uombe kufa pia ni dhambi itakayokupeleka motoni moja kwa moja.

Nakusihi Umgeukie Muumba wako, utubu makosa yako ya umwombe akufanye kiumbe kipya.
Baada ya hapo waone wadai wako na uwaombe radhi, waeleze ulikosea baadhi ya vitu maishani, watakuelewa na watakupa muda wa kutafuta na kulipa madeni yako.

Kitu kikubwa udirudie mtindo wa kutegemea mshahara, hakikisha unakuwa na alternative ya kupata kipato.
Naamini hutalalamika khs mtaji
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Umesema unaogopa kujiua kwa kuwa ni dhambi. Kukata tamaa kwa kiwango hicho pia ni dhambi kubwa.
 
endelea kuyachoka maisha kuna maisha mazuri baada ya maisha haya tunayoishi....
 
Umemaliza? Kuna viumbe vinatamani lengo lako litimie uende kukutana navyo
Screenshot_20181222-220917.jpeg
 
Hebu nunua jeneza uingie humo ndani ukiwa mzima au nenda hospitali ukaone wagonjwa hasa wa kansa wanavyoumia kwa maumivu.
Mwisho, naheshimu mawazo yako ya kujiua kila la kheri wasalimie.
 
Usikate tamaa mkuu. Ndio kwanza tunaelekea kumaliza mwaka wa 2 wa utawala huu dhalimu. Bado miaka 8. Vumilia. Mungu ana haja nawe ndio maana umeendelea kubaki hai hadi leo. Mungu akikukufungia mlango mmoja, hukufungulia mlango mwingine, tena mpana zaidi. Kitambo kidogo utauona mwanga ktk maisha yako. Mungu hajawahi kushindwa na hajawahi kumtupa mja wake. God bless you abundantly!
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YANI SASA NIKUAMBIE, UNAPITA KWENYE HII MUVI, UNA BONGE LA NEEMA MBELE YAKO.
 
Ukikuta mlima ujue mbele kuna mteremko kila ugumu unaoupitia ni matayarishoya mazuri atakayo kujiahakunaga raaaaaahaaaa tuuuu au shidaaaaa tuuuuu hivi vyote viwili huja na kupita raha huja ikapita na alikadhalika shida nazo huja zikapita jambo la msingi ni kuangalia mwenyezi mungu anamakusudio gani na mtihani anaokupa yaweza kuwa ni mtihani wa matayarisho ya kupokea mazuri lakini wewe unaomba akuchukue wanasema mungu ukimuomba mkate hakupi jiwe yangu ni hayo tu
 
Jitambue nenda hospitali unaumwa ugonjwa wa akili, utakuangamiza. Haraka nenda
 
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde. Kuna wakati ni lazima uishi leo tu bila kuwaza kesho itakuwaje. Jipe muda maana muda utakupa suluhisho la shida yako. Pia muombe Mungu atakuvusha maana alilokupangia litatokea tu hata iweje.

Mungu alilopanga ndilo litakalotukia. Sio kwamba haoni au hasikii! Yeye anajua lililo jema kwetu.

Kuna wakati niliwaza kama wewe na kila nikikumbuka namuomba Mungu anisamehe kwa kulalamika.

Tanua misuli ya moyo wako. Kumbuka kuwa hata ungehukumiwa kufa kwa kuchinjwa, unaweza bado kuamuru moyo wako kupokea hali hiyo hata ukaomba wakuchinje haraka iwezekanavyo.

Mungu muweza wa yote, yeye aliyekuumba akupiganie!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom