Nimechoka sana na maisha

Nimechoka sana na maisha

Kuna watu tuna pitia changamoto ngumu kuzidi zako na bado tufight ww unakazi una mpenzi unapata mshahara ila unataka jiuwa wakati kuna watu hawana vyote hivyo na wanaishi maisha magumu mlo mmoja kwa siku kupata tu ishu auko seriously...
 
Psychotherapy is highly recommended to you my friend,,,,,,haya maisha kuna watu wanapata tabu na hawana hata smart phone ya kuwasaidia kuexpress feeling zao.........

Umejikwa,,,,,inuka endelea kutembea.......God has made somethng for u......usikate tamaa
 
Wapo watu wana matatizo makubwa kuliko wewe lakini bado wanapambana na hali zao wewe una pakujishikizia unapata angalau chochote mwisho wa mwezi baado unajiona huna thamani kaa tafakari kabla hujachukua maamuzi yasiyo mazuri
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Pole sana mkuu cha kukusaidia labda kamba ya kujinyonga nitatoa mimi
 
Mkuu tunaweza kuongea kuhusu Figo kama upo tayari kudonate?
 
Despite everything God has a plan for you. That is why you still have free breathe that you fill your lungs with. You have to trust that behind every dark cloud, there is a silver lining... You know what that means? The sun shall shine again when the storm passes.

Look at your life. At the present and not where you wish to be. You have debts mountain high..... But do you see the light in that? At least you have a job honey.

As for the friends.... well most friends are a pain in the ass. Fake af. Karma is a bitch too she fucks us all up once in a while but you know what? You have done some pretty good things too and those will supercede the bad, trust that.

How about asking for a transfer to another part of the country and starting afresh? Pay your debts, change your line and move.

What do you think honey?
 
You being kind it's enough.
Me and a couple others yes.

But against how many billions of people?

Come to our side bana.

She's not having an easy time as it is. And she could be your sis, aunt....daughter or mom.
 
Despite everything God has a plan for you. That is why you still have free breathe that you fill your lungs with. You have to trust that behind every dark cloud, there is a silver lining... You know what that means? The sun shall shine again when the storm passes.

Look at your life. At the present and not where you wish to be. You have debts mountain high..... But do you see the light in that? At least you have a job honey.

As for the friends.... well most friends are a pain in the ass. Fake af. Karma is a bitch too she fucks us all up once in a while but you know what? You have done some pretty good things too and those will supercede the bad, trust that.

How about asking for a transfer to another part of the country and starting afresh? Pay your debts, change your line and move.

What do you think honey?
daamn you goood!
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Mungu hajakusahau, inawezekana umemuacha ila kumbuka yeye hajakuacha..!
tapatalk_1544442800330.jpeg
IMG_20181116_134357_267.jpeg
IMG_20180831_091425_174.jpeg
IMG_20180831_091832_794.jpeg
 
Mleta mada, Mwenyezi Mungu ni mwema, mpole, Mwingi wa huruma. Huu mtihani unaopitia utapita tu. Muombe sana. Anasamehe dhambi zote, Muombe msamaha kisha anza kutenda wema.
Kutenda wema siyo lazima umtendee mtu, anza kwa mfano kuwarushia ndege mchele, kumjali paka wa hapo karibia na kwenu etc. Kwenye kusaidia mtu basi kutoa hata mia mbili ya sadaka kwa mwenye uhitaji ni jambo jema.

Kikubwa lazima ujue, Kabla ya kuja duniani mbegu iliyokutungisha mimba ilishindana na mamilioni ya mbegu nyingi tu na hiyo ya kwako ikashinda. Sasa kama ulishinda katika micro world kwenye ushindani mkali kwa nini ushindwe kwenye hii Macro world?. Pambana usikubali kumpa Ibilisi ushindi mwepesimwepesi juu ya nafsi yako!
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini

You can't be serious.
 
Mkuu

Una depression,inatakiwa ukamuone psychologist ufanye nae sessions!

Kama hna vihela nenda hata South Africa hapo one week tu unamaliza unarudi upo energized 100%!

Au fanya meditation...soma Youtube tu!

Depression ni very serious desease!

Hakuna cha mungu eti anakuchukua au shetani anakufanyia vibaya,there is no such thing!Mungu wa Shetani hawapo,ni normal desease tu mkuu!

Ipo sana,kamuone daktari....usiende kanisani wala kusali,depression itaongezeka,au utakua mtumwa wa kanisa na wachungaji which is bullshit on itself!

Pole sana mkuu!
 
Aiseee kumbe bado kuna watu mnaishi mkitegemea kupata furaha ktoka kwa mtu? ...mm cna rafik huu cjui mwaka wa ngap lakin nipo very happy na nafurahia maisha

Na jinsi maisha yalivyomatamu ctaman kufa kabsaa....

Hakikisha furaha yko haitegemei mwanadamu....jitahid kujifurahisha mwenyew..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom