Nimechoka sana na maisha

Nimechoka sana na maisha

sababu tuko fragile....lol
Inawezekana, maana hata mkiwa hampigwi miti vizuri mnakuwa na stress, kuna kamdada nakaonea huruma sana, kalikuwa kazuri sana, yaani kembamba afu karefu, lakini alikutana na dume bwege, akabikiriwa na mimba juu. Afu hilo dume likawa halina mpango naye lenyewe linalea mtoto tu, na lina kazi yake ya maana, ila halimtaki mwanamke.
Akampata mwanaume mwingine Captain wa jeshi kamtomba akamtia na mimba tena, akafanya abortion. Sasa kila mwanaume anayekutana naye anampa mimba, mwanamke hana raha na utamu wa ngono. Akawa amechanganyikiwa kisaikolojia, nikamtongoza nami nikamtomba kama mara mbili hivi, mimi huwa simkojolei mwanamke huwa nakojoa nje ili nisimpe mimba. Lakini yule mtoto wa kike kila napotaka kumtomba analazimisha nivae condom, na mimi condom sizitaki kwa sababu sikojoi nikivaa, mara ya mwisho kumtomba nilimkaza mpaka akasema amechoka, mimi sikukojoa na yeye najua haja enjoy kwa sababu ya li condom, nikamuonea huruma nikamuacha sijakojoa wala nini, lengo langu nimpe raha naye ajisikie mwanamke anayependwa.
 
Kama issue ni madeni tu basi anicheki! Mimi ni bingwa! Hayajawahi kunisumbua,kuanzia bank hadi vikobani!
 
Dec 1 kwenye thread ya "Wanaotaka kuvadilishana vituo vya kazi " ulipost hivi

"Anayetaka kuna Arusha town , nije dar wilaya yoyote idara sec unapewa top u ya 2 Million


Kwa post hiyo wewe ni Mwalimu , na kama unaweza kumpa mtu million 2 basi kidogo una naafuu ya maisha , kwanini ukate tamaa?
Kumbe anatupigisha story hapa, si alisema ndo mara ya kwanza kuingia JF, pumbavu zake naishia hapa kusoma
 
Shida yako ni PESA

sababu ni hizi;

1. Umeajiriwa ila malsahi madogo - PESA
2. Una mpenzi ila unahisi upo peke ako kwasababu hana PESA za kukuhudumia ukaridhika.
3. Una madeni mengi kwasababu una PESA ndogo na mahitaji mengi.
4. Marafiki wamekutenga kwasababu huna PESA wanataka wenye PESA wenzao.

Ushauri Tafuta PESA walau ununue hata furaha na marafiki fake kama wenye PESA.
 
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Meseji za hivi sio za kuignore...this person is troubled..
 
Dec 1 kwenye thread ya "Wanaotaka kuvadilishana vituo vya kazi " ulipost hivi

"Anayetaka kuna Arusha town , nije dar wilaya yoyote idara sec unapewa top u ya 2 Million


Kwa post hiyo wewe ni Mwalimu , na kama unaweza kumpa mtu million 2 basi kidogo una naafuu ya maisha , kwanini ukate tamaa?
You will never understand maybe kuhama kwangu Arusha ni moja ya sababu zitakazonifanya nipate amani kidogo maishani
 
Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia.
Mungu huwa hajibu maombi ya kipumbavu siku zote!

kama wewe kweli waamini ndani ya Muumba basi amini pia kuwa Mungu siku zote haruhusu ubebe mzigo anaojua fika huwezi kuumudu.
ni ngumu kukupa ushauri hasa since hatujui chanzo lakini kama ushajua fika haya ni matokeo ya karma...kuna namna ya kushughulika na mambo hayo kiroho.

pole sana kwa unayoyapitia lakini amini kuna mtu mahali anashida ambazo laiti ungezijua usingeongea haya maneno!
kuwa makini usije kufuru...shukuru kwa yote
 
Kama issue ni madeni tu basi anicheki! Mimi ni bingwa! Hayajawahi kunisumbua,kuanzia bank hadi vikobani!
Dahhhhh ona sasa....
Hii ndio moja ya sababu yenye inanifanya niwe nasisitiza matumizi ya lugha adhimu ya kiswahili
 
Karma will hunt you always.kamuombe msamaha uliye mtendea ubaya
 
You will never understand maybe kuhama kwangu Arusha ni moja ya sababu zitakazonifanya nipate amani kidogo maishani

Milioni 2 za kumpa huyo mtakaebadilishana ungezitoa wapi ilihali una ugumu wa maisha?

Dada humu ndani usije ukaona watu tunacheka tu ila miyoni ni watu wenye huzuni sana , sio wewe tu mwenye dhiki tukianza kuorodhesa matatizo yetu utasema wewe una afadhari.

Mwenye nia njema huwa hakati tamaa.
 
Bado unaishi, usingepost ulichoandika! Wake up stand up! This is war usiweke bunduki chini, shukuru kwa zawadi ya maisha!
 
Jitahidi kwenda kanisani sana mrudie Mungu, muumba wako naona roho ya umauti imetamalaki sana juu ya maisha yako. Ungama na sali toba utubu.
 

Unapoona mambo yamekuwa magumu sana ujue faraja inakaribia. Mwombe sana Mungu akutie nguvu. Usifanye maamuzi mabaya, unayopitia ni ya muda tu, yatapita

 
Nilicho furahi ni kimoja tu; hutaki kufa ila unawaza kufa kukoje. Hakuna ajuaye kufa kukoje, ila waswahili husema; Usiandikie mate na wino upo.
Jiue ujue huko unakotaka kukimbilia kukoje. Mbona unamwomba Mola akuue?? Hakuna Mungu mpuuzi kiasi hicho aumbe halafu aue bila sababu. Wapo kina Kiranga walimtukana humu humu jf naye Mungu akajifanya haoni wala hasikii. Ati wewe unamwomba akuue!
Maisha bila Yesu ni upatu uvumao. Wapo waliojenga nyumba nzuri ajabu lakini hawalali ndani. Wapo waliooa ma miss upatu lakini hawawafurahii. Wapo walioolewa na mamilionea lakini hawajui hata juisi ya ukwaju ikoje.
That is life and it will always be so. Lovely to others but very cruel to others. Ndiyo huifanya dunia kuzunguka. It all depends where yu are ma friend.
Tulia uusikilize musiki munene Mpe Yesu maisha yako nawe utaonja raha ya nafsi katikati ya misukosuko ya dunia hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom