Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini
Tell us what happened,possibly you are feeling burdened in very normal circumstances,unazungumzia madeni tu ndo unataka Mungu achukue roho yako?
Kama ayubu pamoja na magumu sana aliyoyapitia alimuomba Mungu achukue roho yake na bado aligoma,itakuwa wewe ambaye una kazi,Ila tumadeni tu ndo tunakutesa halafu unataka asikie kilio chako cha kuchukua roho yako kweli!???
Ukumbuke Ayubu sio tu marafiki waliomtenga hata ndugu zake pia,mke wake alimchoka sana,(can you imagine!!!?)
Ndugu, hebu kuwa mvumilivu,tuliza akili yako vema,fanya mipango ya maisha, rekebisha kasoro zako,kama kuna sehemu umewakosea wengine,waombe radhi,tubu pia kwa Mungu wako, hakika utashangaa!
Maisha yako yatabadilika,na furaha ya maisha yako itarejea! Vaa dhamira ya to a ya kweli,huku ukiomba Mungu anyooshe mapito yako uyaendeayo!!!(Mungu wetu ni mwaminifu sana,sana sana,kuliko tunavyoweza kufikiria)
Pole sana kwa unayoyapitia!!
Sent using
Jamii Forums mobile app