Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,743
- 51,170
Si lazima ukubalike na kila rafiki ili maisha yako ya nyoke au yawe mazuri, madeni unaweza weka dhamira ukaanza kufuta moja baada ya lingine ukawa mtu mpya kabisa, swala la mshahara i mean vuta subira utapata kazi nyingine tu, usiwaze kazi uliyonayo sio ya kudumu au nilazima ufe nayo, halafu jifunze kujikubali acha kujidharau na kukata tamaa