Kwani me nimeandika nini mpaka nione aibu
Mkuu, kama hauja elewa ni afadhali usitutie aibu tafadhali![]()
![]()
![]()
Mkuu, kama hauja elewa ni afadhali usitutie aibu tafadhali![]()
![]()
![]()
Mungu akubariki sanaWarmly welcome, sijajuta kupita Jf mida hii!

Kumbe!Tafadhari tuma pcha nkutambue
AminaMungu akubariki sana![]()
![]()
![]()

Kiswahili kime kubwaga na Lugha ya bepari pia inakupiga ngwalaKwani me nimeandika nini mpaka nione aibu
Hivi.....Una kazi na unasema umeyachoka maisha , asiyekuwa na kazi atasemaje ? Panga mda wako vizuri , tumia mshahara wako vizuri , usipende makuu , jichanganye na watu na maisha yatasonga mbele . Kila la kheri

Mkuu umenena...Kuna wakati huwa najiuliza hivi kwanini huyu Mungu anaachia uovu mwingi uendelee katika Dunia hii?
Sometimes hold on some stuffs cause huge damage than letting it go. Kuendelea kuning'inia kwenye senyenge kunaleta maumivu na madhara zaidi kuliko kuachia uanguke. Kukaa na jino linalouma kwa muda mrefu ni mateso zaidi kuliko kuling'oa.
Mimi mwenyewe napitia mengi zaidi itafika muda nitauachia huu mwili kwa kudhamiria mwenyewe niende huko rohoni nikamuulize maswali baba yangu Mungu, why did he let me suffer this way?
Acha kudanganya watu. Nyie walokole ndio mashetani haswa.Furaha ya kweli kuwa na Yesu! Mtafute Mungu utaenjoy maisha ya duniani.
Hello Jf members this is my first topic to write here. I never thought that one day I would write anything here but until today where I see life becoming so cruel to me
.
.
Naenda kuumaliza mwaka vibaya sana yaan sina raha ya maisha hata kidogo sioni sababu ya kuendelea kuishi duniani coz nothing is making sense to me.
.
.
My life is so disorganized. Am in a period where am facing karma that I created myself years back. Am employed but am not enjoying my salary, am in relationship but still feeling lonely.
.
.
I have only one prayer to God now. Kila siku namuomba Mungu achukue roho yangu ili niweze kupumzika na hizi shida za dunia. Yan hakuna kitu kizuri ninachokiona duniani. Madeni yameniandama, marafiki wamenitenga sasa bado nafanya nini duniani jamani? Sina msaada wowote duniani ni heri Mungu achukue roho yangu nife nijue moja. Siwezi kujiuua kwa sababu naamini hiyo ni dhambi ambayo itanipeleka kuzimu moja kwa moja.
.
.
Yan huwa najiuliza Mungu alinileta duniani ili nifanye nini