Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,174
- 10,445
Wakati huu ndio Mungu huchukua nafasi pale anapohitajiwa
Mara nyingi tukiwa na pesa za kuendesha maisha na vitu vinaweza kupatika kupitia mali tulizo nazo huwa hatumuhitaji Mungu
Mara nyingi tukiwa na afya tunaona hatuna shida na Mungu
Pale tuna marafiki au mahusiano wazuri huwa Mungu si chochote kwetu
UKWELI NI HUU
Mtu nje na Mungu si chochote tangu dhambi iwepo tuko subjected na kila namna ya mabaya
Nashangaa sana hata mdudu mdogo hutumudu hata kufanya tuugue mf plasmodium vivae hutupa malaria
Sasa Rafiki huo ndio wakati ambapo Mungu anakutumainia umuelewe na kumuuamini
Wewe UMEPENDWA sana na Mungu kiasi cha Mungu kulinga mbele za ibilisi kuwa wewe ni mtu wake
8 Kisha Bwana akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu.
Ayubu 1 :8
9 Ndipo Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Je! Huyo Ayubu yuamcha Bwana bure?
Ayubu 1 :9
10 Wewe hukumzingira kwa ukigo pande zote, pamoja na nyumba yake, na vitu vyote alivyo navyo? Kazi za mikono yake umezibarikia, nayo mali yake imeongezeka katika nchi.
Ayubu 1 :10
11 Lakini nyosha mkono wako sasa, uyaguse hayo yote aliyo nayo, naye atakukufuru mbele za uso wako.
Ayubu 1 :11
Shetani amepeleka jibu kwa hoja hii ya Mungu kuwa upendo wako kwa Mungu ni kwa sababu fulani tu. Kuwa Mungu amekubariki na kukulinda KWAMBA Mungu akivitoa humupendi
Sasa THIBITISHA kuwa wewe kama Mungu alivyojivunia kuwa u mtu wake si kwa sababu. THIBTISHA
wala usimuabishe Mungu
Baada ya vita hii atakuzidisha mara dufu