Nimechoka kusubiri ajira za walimu

leo episod ya 5 imetolewa na waziri mwenye dhamana na masuala ya ajira mh kairuki.ngoja tujikumbushe Episod zilizopita ya kwanza Tutatoa ajira mapema mwaka huu ,ya pili tutatoa ajira mwezi mei,ya tatu tumestisha ajira zote,ya nne nimestisha ajira kwa kipindi kisichozidi miezi miwili ya tano uhakiki unaendelea.JE UHAKIKI HUU WA MIEZI MITATU NA ZAIDI NINI KIMEJIFICHA
 
daah inauma sana maana nahisi habari ya UKUTA ikasababisha serikali itumie fukutu kama walivyotuhadaa kupitia muvi ya watumishi hewa
 
Mheshimiwa Spika, mnamo mwezi Mei 2016, Serikali inatarajia kutoa ajira za walimu wapatao 40,000 ikijumuisha wa cheti, Stashahada na Shahada ili kukabiliana na upungufu wa walimu uliopo katika shule za Msingi na Sekondari nchini. Zaidi ya shilingi bilioni 17 zitahitajika kwa ajili ya kulipa posho pamoja na watakaoajiriwa nauli na halmashauri zote nchini. Elimu ya Sekondari za walimu wapya kupelekwa katika
no time to waste, do what you belive
 
Nyie unaosema mwezi ujao mna uhakika gani maana rais,tamisemi wote wapo kimya bora mnyamaze maana hii ishu inatutesa kisaikolojia
 
If they don't employ they must make press release and not continuing promising us they leave us in dilema of whether to start a new business or to quit waiting the post
If you are art subjects teacher nothing to wait. Jiongeze usisubir kila kitu uambiwe
 
Tatizo lingine ni kwamba watu mnaohitimu mlishakua saikolojia kwamba MTU yoyote anayegraduate taaluma ya ualimu basi huyo ni ajira moja kwa moja..!
Mbona kuna fani nyingine watu wana mwaka wa Tisa huku lakini mpaka sasa ajira doro
Ebu pungezeni kulia lia kuweni wavumilivu ....!
Bado wanakagua watumishi.
 
If you are art subjects teacher nothing to wait. Jiongeze usisubir kila kitu uambiwe
Yaani haka kajamaa ni kanafiki sana haka, kumbe hata kiinglish hujui, unawezaje kujua siri za serikali sasa!? Nyie vihaya bwana hata kama umeishia la saba unang'ang'ana tu kuongea kiinglish. P.u.mbavu zako. K.i.laza ww.
 
Back
Top Bottom