ayubu ebenezer
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 350
- 208
Mdhuti uu, kiholo ichi, ikuru ili, ugerwa ni vathavi na kio wee.Nyanhang'hwe
Mdhuti uu, kiholo ichi, ikuru ili, ugerwa ni vathavi na kio wee.Nyanhang'hwe
Swali hivyi hiyo mishahara ya miezi miwili ndo anaenda kujengea airport kwao Mwanza au ndo nauli ya dodoma ....Kaisha sahau kama alikuwa anapita kila mkoa kutuomba Kura...ama kweli siasa mchezo mchafu eti....Ni jambo la kuumiza sana tena sana serikali , mheshimiwa Magufuli anatutalia kuona amekaa kimya tu amesahau ahadi yake. Mimi ninawaomba tuungane tuandike waraka na tumfikishie mheshimiwa magufuli maana naona amejisahau .. Hivi sisi hatuwezi kutumia vyombo vya habari / mitandao ya kijamii. Kupaza sauti kwa hili hebu yeyote mwenye mawasiliano au akaunti za wakubwa hao tusaidiane tufikishe ujumbe ..
Kinachoumiza nilikuwa nimeajiriwa nikasafiri vuka mikoa mitano kwenda interview nikarudi nyumbani nikajipanga kuripoti kituo cha kazi Ni kapanga na nyumba mwaka mzima.... Alafu ndani ya mwezi unasimamishwa inaumaaa sana . nimerudi nyumbani miezi miwili alioahidi bado kimya.. MTU sasa unashindwa hata kufungua biashara maana unawaza unaweza maana mguu moja nje moja ndani unakuwa dilemma Leo unaweza kuaza michakato ya kulipia mlango kesho unaambiwa rudi kazini .. This frustrates me San serikali hii ituweke wazi tujue moja ili watu tuwe free kufanya mambo yetu
Daaah kama mimi nilipata Shida sana kuipigia chapuo kwa Wamasai huko Arusha ...leo najuta sana bora ningebakia kwangu nilale tu maana nilikuwa najiua mwenyewe.....bora wangekipindua tu....maana yote wanayoyafanya hivi sasa ni kujaribu kufuta makosa yao siyo kutusaidia masikiniJaribuni kukumbuka kura zenu mlivozipiga, wengine mlikuwa na taya ngumu sana kuisifia CCM, hata mimi hayanikosi ila wakati mwingine kama hatujakoma hivi
Pole ipo siku Muumba atalipa maana yeye ndo katuleta duniani na kutupatia riziki na anajua shida zetumimi cjui wala sielewi cha kufanya ndugu zangu maana madeni yananizidi kila kukicha
Kubwa zimaa unajilizaliza ina maana hizo ajira zisipotolewa milele utakufa?Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo hayaelewiki.
Mtaani kunachosha yaani daah hata sijui
Tatizo sio zisipotolewa .. Ishu Ni kuweka ahadi mfano angesema hakuna ajira basi mtu anaaza michakato yako kama Ni kwenda shamba au kuplani kitu kinhine cha kufanya.. Sasa umeambiwa ndani ya miezi miwili then inapita maana unaweza ukaamua kuingia plan B then wiki moja tena unaambiwa haya plan yako A imelamilika unayumbishwaKubwa zimaa unajilizaliza ina maana hizo ajira zisipotolewa milele utakufa?
Ina maana hiyo plan B yako hawezi kwenda sambamba na plan A kama nayo itatiki? Graduate gani wewe unayepanga plan isiyoendana na mazingira halisi? Naomba uvue joho la u - graduate ujivishe joho la u-je. S. Ca tafadhari.Tatizo sio zisipotolewa .. Ishu Ni kuweka ahadi mfano angesema hakuna ajira basi mtu anaaza michakato yako kama Ni kwenda shamba au kuplani kitu kinhine cha kufanya.. Sasa umeambiwa ndani ya miezi miwili then inapita maana unaweza ukaamua kuingia plan B then wiki moja tena unaambiwa haya plan yako A imelamilika unayumbishwa
Fikiria kabla ya kumkosoa mtu.. Plan A. Iki tiki haijulikan ita kupeleka Wap, let say umelima matiki yako Mbeya huko Plan A ikitiki unaambiwa uende manyara..Ina maana hiyo plan B yako hawezi kwenda sambamba na plan A kama nayo itatiki? Graduate gani wewe unayepanga plan isiyoendana na mazingira halisi? Naomba uvue joho la u - graduate ujivishe joho la u-je. S. Ca tafadhari.
Ndo maana nimesema hana kiwango cha kuitwa "graduate" kwa sababu hawezi kutengeneza mpango unaoendana na mazingra. Huwezi kulima matikiti wakati huo huo unategemea ajira zitoke na hujui utapangiwa wapi. Kwa hali hiyo ni lazima uwe na mpango ambao ata kama uko Mbeya ukipangiwa kazi Kilosa mambo yasiharibike na huo mpango uwe ndo kitega uchumi chake ata utakapokuwa huko kwenye ajira. Uwe una-roll kwanza kabla ujaleta "comment" ya u.ki.la.za.......Je.S.Ca mkubwa weeeeee!Fikiria kabla ya kumkosoa mtu.. Plan A. Iki tiki haijulikan ita kupeleka Wap, let say umelima matiki yako Mbeya huko Plan A ikitiki unaambiwa uende manyara..
Huoni kama utapata hasara kwa plan B yako..
Think b4 hujaongea.. jarbu elewa mtu ana maanisha nni...
Labda wizi kama username yako ilivyo..Ndo maana nimesema hana kiwango cha kuitwa "graduate" kwa sababu hawezi kutengeneza mpango unaoendana na mazingra. Huwezi kulima matikiti wakati huo huo unategemea ajira zitoke na hujui utapangiwa wapi. Kwa hali hiyo ni lazima uwe na mpango ambao ata kama uko Mbeya ukipangiwa kazi Kilosa mambo yasiharibike na huo mpango uwe ndo kitega uchumi chake ata utakapokuwa huko kwenye ajira. Uwe una-roll kwanza kabla ujaleta "comment" ya u.ki.la.za.......Je.S.Ca mkubwa weeeeee!
Uko poa sana yaani ni wachache wanawaza kama wewe hata Ba Jesca umemzidi maana mawazo yao ni ya kukurupuka kama huyo fala na plan B za kisenge.....Big upNdo maana nimesema hana kiwango cha kuitwa "graduate" kwa sababu hawezi kutengeneza mpango unaoendana na mazingra. Huwezi kulima matikiti wakati huo huo unategemea ajira zitoke na hujui utapangiwa wapi. Kwa hali hiyo ni lazima uwe na mpango ambao ata kama uko Mbeya ukipangiwa kazi Kilosa mambo yasiharibike na huo mpango uwe ndo kitega uchumi chake ata utakapokuwa huko kwenye ajira. Uwe una-roll kwanza kabla ujaleta "comment" ya u.ki.la.za.......Je.S.Ca mkubwa weeeeee!