Nimechoka kusubiri ajira za walimu

Nimechoka kusubiri ajira za walimu

Ukijiajiri raha sana. Unaenda kazini muda unaotaka,

Hakuna kuhudhuria kwa lazima sijui nini ile...

If you're in good mood make money as you can.

Ila kutafuta fursa huko mnakofiria vijana wenzangu tafuteni. Kumbukeni kuna siasa!
 
Tuvumilie ajira zitakuwepo subiri kwanza government ifanye utafiti coz watumishi wengi sana na of course inapata hasara, neema yaja b4 October.
 
kuna wat akil yao imekaa kiugoro kama jina lake huyu jamaa nmesoma comment zake nadhn hajaenda shle
 
Wakati mwinginee watuu tunashindwa kuelewa kuwaa maishaa unayoishi wewe ni tofauti na mwenzio daimaa hatuwezi kulinganaaa......oooh mtoa madaa hakuwaa na plan B ooooh mlitumiaa vibaya boom mlipokuwa chuoo ooo sijuiii niniii!...

Malawamaaa meeengiii!...

Mfano mie since nimeenda shule karibu NNE za private......ja kilaa mmoja anakwambiaa tukupee mkatabaa tenaa sio chinii ya mwakaaa maana ukifanya kazii miezii miwilii utaharibuu mipangoo yaoo maana unganeni vikundi tengenezeni proposal mchukue bank loan fungueni mashule mpige hela maticha wenyewe..
 
Jaribuni kukumbuka kura zenu mlivozipiga, wengine mlikuwa na taya ngumu sana kuisifia CCM, hata mimi hayanikosi ila wakati mwingine kama hatujakoma hivi
 
Back
Top Bottom